Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba inauzwa ipo kibamba ccm eneo ni nusu heka,umbali ni mita 100 tu kutoka Morogoro road,eneo lina nyumba ya kisasa,pub na parking,eneo limepimwa na lina hati,eneo lote linauzwa million 170 tu maongezi yapo 0756060183
 
  • Eneo/shamba la heka 10 linauzwa Bagampyo jirani na inapojengwa Bandari mpya.
  • Enep limepimwa na lina hati.bei kwa eneo lote ni Tsh. 350m
Maongezi zaidi 0756060183



 
CORNER PLOT FOR SALE AT TEGETA
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kinauzwa Maeneo ya
Tegeta - KIBAONI - Karibu sanaa na Azania Bank

Very near to the main road

Size plot 800 sqm

Kimepimwa na kina Hati Miliki (Clean Title deed)

Kinafaa kujenga nyumba za makazi au biashara (Apartments)

Bei Tsh: 70 Million Cash

Note: Buyer pays agency commission and transfer fee
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Call or WhatsApp for more details. 0756060183
 
Reactions: SMU
Mimi nina kiwanja changu kipo Kunduchi 21 kwa 22 bei Mil 40.
Kinamsingi.ni dakika kumi kutoka rami,gari hadi mlangoni njoo pm kwa biashara kama upo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…