dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #141
Aiseeh ni hatari mkuu ila ndio ivyo tena hii ni moja ya changamoto za kaziMzee baba umeshaambiwa sisi maskini wa humu JF tutakupigia kelele ukawa hauamini nadhani unajionea sasa,mtu anauliza ununio kuna gani cha kuifanya waijue,hahah.
Aiseeh ndio ivyo mkuu tumsamehe tu maana hakuna namnaHakika mkuu maana hilo suala lilikuwa jepesi sana kulimaliza kuliko kutukana kwenye uzi wa tangazo muhimu kama hili maana hii ni biashara huyu dottoz kanikera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuuKiduku Lilo njoo ucheki huu mjengo najua wewe kwenye biashara zako za USA hiyo milion 850 unaipata kwa lisaa limoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli na huo ni wajibuHiyo conclusion ni hatari kibiashara! Ni hatari kwa sababu Ununio sio mtaa bali ni kitongoji, na kwa maana hiyo Ununio ni kubwa!!
Mtu anayeweza kuifahamu Ununio yote ni mkazi wa miaka mingi wa Ununio na sio anayeenda Ununio mara moja moja au mpita njia labda kama unataka kusema wenye hela wote wanakaa Ununio!
So, utakuwa sahihi endapo tu wenye hela wote wanakaa Ununio!!
Na hata huyo anayeifahamu Ununio yote bado atataka kufahamu Ununio sehemu gani!
Kwa mfano tukichukulia pale ilipo Shule ya Kiislamu na kule liliko Soko la Samaki... zote si zipo Ununio zile?! Hivi unaamini maeneo haya mawili yanaweza kuwakilisha interests sawa za mnunuzi?!
Tuache Ununio na twende sehemu ambayo majority watakuwa wanaifahamu!
Tukisema Makao Makuu ya Simba Sports Club yapo Kariakoo na Msikiti wa kwa Mtoro upo Kariakoo tutakuwa tumekosea?!
Unaamini interests zilizo yalipo HQ ya Simba SC ni sawa na kule kwa Mtoro?!
Ukitangaza unauza nyumba Kariakoo utamshangaa mtu atakayeuliza Kariakoo sehemu gani?!
Let's be serious bhana! Mi mtu hata akinitangazia kijijini kwetu anauza nyumba lazima nitataka kufahamu ni sehemu gani; seuze Ununio!!
Mmepunguza mil 200???????
Mkuu kinachouza sio kikokotoo bali ni uhitaji wa mtu alionao kwa wakati huo..na hii inasindikizwa na msemo wawaswahili usemao kimfaacho mtu chakeMmepunguza mil 200???????
Mnajipangia bei bila kuwa na kikokotoo?
Nyie ni wapigaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ni nyumba moja tuMbona kama naona kuna NYUMBA mbili hapo moja kama floor na nyingine flat au makengeza yangu?au umepigiga side view?
Hapana mkuu ni nyumba moja tuMbona kama naona kuna NYUMBA mbili hapo moja kama floor na nyingine flat au makengeza yangu?au umepigiga side view?
Hahaa mkuu siunajua heka 3 na nusu hizi na eneo lililopo liko kibiashara.. ila bei hii ina maongeziMmh... hii bei, mbona kama tupo kwenye makutano ya lindi na swahili...
Watakuja mkuu, biashara njema.