Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot inauzwa iko Mbezi Beach na ni plot ya pili kutoka beach.
Size 2400 sqm na bei yake 400,000$
Zingatia au angalizo.. mitaa hii ni mitaa ya matajiri na wanaoishi maeneo haya wanajiweza mipango yao imeshanyooka.. karibu uungane na matajiri wenzako uishi kitajiri

Maongezi zaidi 0756060183

 
Ni vizuri mwenye nyumba a-process Hati mwenyewe,mnunuzi aje abadilishe tu,ni ushauri tu,maana wanunuzi wengi bila Hati huwa wanakuwa na ??
 
Aisee plot Dola laki nne, haya ngoja Madon na Mapedeshee waje.
 
Goba vinakiwa na ukubwa gani. Vimepimwa?
Sema ili upate kikubwa na kimekaa vzr kwa bei hii usogee uje madale mbopo hapa utapata mita 25 kwa 20.

Goba huku vinakuwa vidogo ila siku ukipata nafc tutakuonyesha maeneo yote na utachagua.

Vinakuwa vimepimwa ila hati bado..ukikuta chenye hati tayr bei yake inaingezeka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…