Sometimes inabidi uuze ulichonacho ili ku-meet some obligations!Hapo Sawa, nakubali, Kama pana wapangaji na inalipa Ni Sawa, Ila Kwa nini sasa Huyoauze Kama kuna Faida? Au anapitia kipindi kigumu?
Tatizo ni kwamba, baada ya Serikali kuhamia Dom tayari Wafanyabiashara wa Dom wanadhani Dom ndo ishakuwa Dar kumbe Dar bado itabaki kuwa Dar tu, na bei za Dar haziwezi kufanana na sehemu yoyote Tanzania hii!
Dar competitor wake kwenye real estate industry ni majiji kama Nairobi!!