Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hapo Sawa, nakubali, Kama pana wapangaji na inalipa Ni Sawa, Ila Kwa nini sasa Huyoauze Kama kuna Faida? Au anapitia kipindi kigumu?
Sometimes inabidi uuze ulichonacho ili ku-meet some obligations!

Tatizo ni kwamba, baada ya Serikali kuhamia Dom tayari Wafanyabiashara wa Dom wanadhani Dom ndo ishakuwa Dar kumbe Dar bado itabaki kuwa Dar tu, na bei za Dar haziwezi kufanana na sehemu yoyote Tanzania hii!

Dar competitor wake kwenye real estate industry ni majiji kama Nairobi!!
 
Kweli kabisa mkuu
 
Nyumba inauzwa
Iko Masaki mtaa wa pitale
Maeneo ya chole road
Ina vyumba 4 vya kulala
Kati yake 2 ni Master bedroom.
eneo la plot lina ukubwa wa sqm 2440.
Gest ving 1
Vyoo vya nje vipo viwili.
Jiko la ndani kubwa sana na zuri.
Ni Owner ship
Bei ni USD 850,000$
Maongezi zaidi
O756060183

IMG-20220204-WA0060.jpg
IMG-20220204-WA0058.jpg
IMG-20220204-WA0059.jpg
IMG-20220204-WA0057.jpg
IMG-20220204-WA0053.jpg
IMG-20220204-WA0053.jpg
IMG-20220204-WA0051.jpg
 
APARTMENTS FOR RENT

LOCATION AT BAHARI BEACH

ASKING PRICE Tsh. 700,000 PER MONTH

TERMS OF PAYMENT 6MONTHS

Maelezo zaid call 0756060183

IMG-20220204-WA0031.jpg
IMG-20220204-WA0027.jpg
IMG-20220204-WA0028.jpg
IMG-20220204-WA0029.jpg
IMG-20220204-WA0030.jpg
 
Wenye hela hawawazi, ila sisi wakina pangu pakavu tia mchuzi, hiyo B 1.7 ishaangukia kwenye mahesabu mengine.. Hiyo point saba tu napata bonge la kiwanja kibada na kujenga mjengo zaidi ya huo, halafu B 1, inapangiwa matumizi mengine
😂

Umaskini mbaya saana🤣
 
[emoji23]

Umaskini mbaya saana[emoji1787]
Na hata hiyo nyumba ya mil 700 itakua sio ya kawaida ni ikulu ndogo.
Nyumba nyingi za ghorofa nzuri unazoona ni around 350m, Sasa fikiria hiyo ya mil 700
 
Wenye hela hawawazi, ila sisi wakina pangu pakavu tia mchuzi, hiyo B 1.7 ishaangukia kwenye mahesabu mengine.. Hiyo point saba tu napata bonge la kiwanja kibada na kujenga mjengo zaidi ya huo, halafu B 1, inapangiwa matumizi mengine
😂

Umaskini mbaya saana🤣
Hapo wananunua kiwanja wanaweka apartments.
 
Back
Top Bottom