kibamia original
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 262
- 768
Kwenye eneo languMkuu nyumba yako umejengea wapi?
Hio nyumba iko Masaki. Hio 500m yako utajenga hewani? Kama unataka kujenga Masaki toa 1.7b upate hilo eneo halafu ndio ujenge hio ya 500m.Kuna kitu huwa sielewi kwa hawa watu wanajiita madalali, hivi kweli nyumba hiyo ni billion 1.7? Hebu tuwe wa kweli, karne hii unanunua nyumba kama hiyo 1.7 B wakati unaweza jenga nyumba nzuri zaidi ya hiyo kwa million 500 tu
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] mbona umejibu kwa hasira mzeeKwenye eneo langu
Basi nimejenga kwenye eneo lako[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] mbona umejibu kwa hasira mzee
[emoji23]Hapa kinauzwa kiwanja tu mtu mwenye bil. 1.7 hawezi kuishi kwenye hiyo jela.
Kwa maana hiyo umenukua kiwanja sio dahhapo inabidi uwe na 1.7 bil X 2, kubomoa na kujenga tena, manake ghorofa utadhani zahanati maalum ya kupima na kupambana na UVIKO-19
Sawa ila hii bei ni kama tunauza kiwanja ununue uvunje ujenge unavyotaka.maisha tunatofautiana sana mwingine ananunua kiwanja goba cha 20m na anajenga gorofa, mwingine bunju 10m anajenga gorofa mwingine ananunua kaliakoo nyumba kwa 2bilion anavyunja anajenga gorofa ,mwingine Masaki ananunua kiwanja 1m$ na anajenga gorofa.Kwenye eneo langu
Lakini ukumbuke ukisema california usisahau na Masaki ni maeneo ya thamani kubwa hapa TanzaniaHapo unapata nyumba ndogo California, au nyumba mbili kubwa Texas
Na hapa tunauza bei rahisi..hahaa maisha tunatofautiana sana mkuuKwa maana hiyo umenukua kiwanja sio dah
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapa kinauzwa kiwanja tu mtu mwenye bil. 1.7 hawezi kuishi kwenye hiyo jela.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi huuHio nyumba iko Masaki. Hio 500m yako utajenga hewani? Kama unataka kujenga Masaki toa 1.7b upate hilo eneo halafu ndio ujenge hio ya 500m.
Kuna nyumba iko Toure drive kuna mtu alinunua $4.5m halafu akaona ina garden na eneo dogo akanunua ya nyuma yake $3m akaivunja akaweka garden na pool.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi nimejenga kwenye eneo lako[emoji1787][emoji1787]
Hasa ndio lengo la muuzaji na mnunuzi mkuuKwa maana hiyo umenukua kiwanja sio dah
Amin kaka. 🤲Mungu atusaidie sana ndg yangu
Kwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!Hapo unapata nyumba ndogo California, au nyumba mbili kubwa Texas
Poa sana mkuuAhsante kwa taarifa...