Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kuna kitu huwa sielewi kwa hawa watu wanajiita madalali, hivi kweli nyumba hiyo ni billion 1.7? Hebu tuwe wa kweli, karne hii unanunua nyumba kama hiyo 1.7 B wakati unaweza jenga nyumba nzuri zaidi ya hiyo kwa million 500 tu
Hio nyumba iko Masaki. Hio 500m yako utajenga hewani? Kama unataka kujenga Masaki toa 1.7b upate hilo eneo halafu ndio ujenge hio ya 500m.
Kuna nyumba iko Toure drive kuna mtu alinunua $4.5m halafu akaona ina garden na eneo dogo akanunua ya nyuma yake $3m akaivunja akaweka garden na pool.
 
hapo inabidi uwe na 1.7 bil X 2, kubomoa na kujenga tena, manake ghorofa utadhani zahanati maalum ya kupima na kupambana na UVIKO-19
Kwa maana hiyo umenukua kiwanja sio dah
 
Kwenye eneo langu
Sawa ila hii bei ni kama tunauza kiwanja ununue uvunje ujenge unavyotaka.maisha tunatofautiana sana mwingine ananunua kiwanja goba cha 20m na anajenga gorofa, mwingine bunju 10m anajenga gorofa mwingine ananunua kaliakoo nyumba kwa 2bilion anavyunja anajenga gorofa ,mwingine Masaki ananunua kiwanja 1m$ na anajenga gorofa.

Hawa wote wanasema wana nyumba za ghorofa ila ukweli kila moja ina thamani yake kutokana na eneo husika
 
Hio nyumba iko Masaki. Hio 500m yako utajenga hewani? Kama unataka kujenga Masaki toa 1.7b upate hilo eneo halafu ndio ujenge hio ya 500m.
Kuna nyumba iko Toure drive kuna mtu alinunua $4.5m halafu akaona ina garden na eneo dogo akanunua ya nyuma yake $3m akaivunja akaweka garden na pool.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi huu
 
HOUSE FOR SAlE AT BOKO BASIAYA/DAWASA

Located: Boko Basiaya/Dawasa Upande wa Juu

Nyumba ipo Mita 400 Kutoka barabara kuu ya Lami - Bagamoyo road.

Features :
NYUMBA INA....
--- 4 Bedrooms
--- 2 Master Bedrooms.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Store
--- 1 Sitting rooms.
--- 2 Public toilets.
--- Bathroom.
--- Big Sliding Windows.
--- Laundry Area.
--- Eneo Limepimwa na Kurasimishwa na Serikali ya Mtaa na Lina Nyaraka za Serikali ya Mtaa/Walishalipia Wanasubiria Haiti Miliki.
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.
--- Plot Size: 800 Sqm
--- Price: Tsh. 150 Million (Negotiable)

Call or WhatsApp for more details. 0756060183

IMG-20220205-WA0020.jpg
IMG-20220205-WA0018.jpg
IMG-20220205-WA0019.jpg
IMG-20220205-WA0017.jpg
IMG-20220205-WA0017.jpg
IMG-20220205-WA0016.jpg
 
Je kuna mbuga/malisho jirani?

Coz i can buy it..ila nataka kufugia ng'ombe na mbuzi maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom