dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #261
89,000,00089m or 9m?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
89,000,00089m or 9m?
Inatosha sana hiyo mkuuMilioni 5 mbona ndogo sana mkuu
Eneo pamoja na aina yenyewe ya nyumba mkuu.Nini kimeipa thamani zaidi hiyo nyumba mkuu eneo ilipo au kuna eneo kubwa hapo ukitoa nyumba?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu bei hizi ni za wenye nyumba na sio za kwangu na pia kwa kukusaidia kama nyumba umeipenda niambie tu nikuunganishe na mwenyewe upatanae nae.Hata 40 yrs kwa bei hiyo na nyumba ilivyo no one atanunua, tatizo nyie madalali akili hakuna hata bei za nyumba au viwanja mna zidisha kupita kiasi..
Mkuu njoo nikuuzie kiwanja Goba, mita 25 kwa mita 25 bei 9.5mMilioni 5 mbona ndogo sana mkuu
Mkuu bei hizi ni za wenye nyumba na sio za kwangu na pia kwa kukusaidia kama nyumba umeipenda niambie tu nikuunganishe na mwenyewe upatanae nae.
Hahaaa wenzio wananunua hapa hapa nyumbani mkuu.wekeza kwenu achana na ugenii kwa mabeberuNikipata hiyo hela naenda kununua nyumba Johannesburg.Naona siku hizi ipo level moja na Dar.
Mkuu, inapungua hadi ngapi??Hahaa sana mkuu ila bei inapungua maelewano yapo
200,000,000 huchukui?Nyumba mpya ya kisasa inauzwa ipo Bahari beach
Vyumba 4 vyote ni self
Sevent couteter ya vyumba 2 self
swiming pool ipo
Bei 450,000 usd
Size plot 2200 SQM
Maongezi zaidi nipigie 0756060183
View attachment 1495576View attachment 1495577View attachment 1495578View attachment 1495579View attachment 1495580View attachment 1495581View attachment 1495582