Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hata 40 yrs kwa bei hiyo na nyumba ilivyo no one atanunua, tatizo nyie madalali akili hakuna hata bei za nyumba au viwanja mna zidisha kupita kiasi..
Mkuu bei hizi ni za wenye nyumba na sio za kwangu na pia kwa kukusaidia kama nyumba umeipenda niambie tu nikuunganishe na mwenyewe upatanae nae.
 
Mkuu bei hizi ni za wenye nyumba na sio za kwangu na pia kwa kukusaidia kama nyumba umeipenda niambie tu nikuunganishe na mwenyewe upatanae nae.

DSM imekuwa mkoa wa kawaida tu, bei hasa ya viwanja au nyumba au nyumba za kupanga zimeporomoka sana, mtu yeyote mwenye kiwango hicho cha fedha lazima awe mwelewa kwa sasa hivi, so hawezi nunua hiyo kijighorofa kwa bei hiyo, huo ndio ukweli..
 
Nikipata hiyo hela naenda kununua nyumba Johannesburg.Naona siku hizi ipo level moja na Dar😎😎😎
 
Wauza nyumba/viwanja wa Dar huwa siwaelewi. Uwanja wa ndege wa Dodoma unajengwa kwa bilioni 3.5. Hiyo nyumba yako eti ni zaidi ya bilioni 1! Unawauzia wezi? Kama mtu unapata hela zako kihalali hauwezi nunua kwa bei hiyo. Hapo hapo Dar kwa hela hiyo kwa nini nisununue nyumba Masaki, Mikocheni, Msasani ama Oysterbay? Kwa nini niende huko Bagamoyo?
 
Kashindwa marejesho hata nyumba haijaisha?
 
Kwa hyo hela naenda US au UK nanunua bonge la bungalow ambalo nina uhakika kila mwezi sio chini ya $3000.
 
Hiyo nyumba huwezi uza kwa mtu mwenye akili, 1+B sio hela ya kununua nyumba ya kawaida hivyo. Hata 500M hata kama kiwanja kina thamani kubwa maradufu.
 
Back
Top Bottom