dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #281
Mkuu kiwanja chenyewe hakununua bei hiyo.ila kama unania na nyumba ungekuja uione kwanza mengine yanaongekeka200,000,000 huchukui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kiwanja chenyewe hakununua bei hiyo.ila kama unania na nyumba ungekuja uione kwanza mengine yanaongekeka200,000,000 huchukui?
Mkuu maeneo haya bei zake ziko juu ila siku moja karibu uione nyumba halafu utaniambia kama kweli haiendani na hiyo beiHiyo nyumba huwezi uza kwa mtu mwenye akili, 1+B sio hela ya kununua nyumba ya kawaida hivyo. Hata 500M hata kama kiwanja kina thamani kubwa maradufu.
Mkuu hata hii ukinunua hakika wa kupata hiyo hela upo na sio lazima ukawekeze kwa mabeberu, wekeza hapa tuijenge Nchi yetuKwa hyo hela naenda US au UK nanunua bonge la bungalow ambalo nina uhakika kila mwezi sio chini ya $3000.
Sawa mkuu huu ushauri nimeupokea na nitajaribu kuongea na wenye nyumbaHalaf ninyi wauzaji Kwann msiwe mnaweka kwa TSH au iyo nyumba iko USA,..
Sawa mkuutafadhali tuwekee appraisal report
Hapana mkuu hii iko kwenye mikakati ya kibiashara na hiyo bei ni pamoja na umaliziwaji wa nyumba..kwa maneno ni mengine,unakabidhiwa funguoKashindwa marejesho hata nyumba haijaisha?
Kiwanja kimeshauzwa.asante sna wakuu kwa sapoti.Mkuu njoo nikuuzie kiwanja Goba, mita 25 kwa mita 25 bei 9.5m
Hahaaa usimpangie Mungu! Yeye anajua zaidiUwezekano wa mimi kuishi kwenye majengo huu ni kuomba kazi za ndani mil89!
Mmmh dada Sky na PhD yako kabisa unasema hivyo?Uwezekano wa mimi kuishi kwenye majengo huu ni kuomba kazi za ndani mil89!
Ha ha ha89,000,000
Huku si ndio kule ulimuomba yule fundi akupe makadirio ya kujenga apartments zako?!Uwezekano wa mimi kuishi kwenye majengo huu ni kuomba kazi za ndani mil89!
Msimu wa mvua inafikika?
Picha zaidi na video wasiliana namiView attachment 1504122View attachment 1504123
Ndio mkuu sorry nimechanganya wakati wa kutuma na najaribu kufuta sioni hiyo option..ila ukinichk kwenye hiyo no nitatuma WhatsAppMkuu hiyo video uliyotuma ni tofauti na maelezo yako..