Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hiyo nyumba huwezi uza kwa mtu mwenye akili, 1+B sio hela ya kununua nyumba ya kawaida hivyo. Hata 500M hata kama kiwanja kina thamani kubwa maradufu.
Mkuu maeneo haya bei zake ziko juu ila siku moja karibu uione nyumba halafu utaniambia kama kweli haiendani na hiyo bei
 
Kwa hyo hela naenda US au UK nanunua bonge la bungalow ambalo nina uhakika kila mwezi sio chini ya $3000.
Mkuu hata hii ukinunua hakika wa kupata hiyo hela upo na sio lazima ukawekeze kwa mabeberu, wekeza hapa tuijenge Nchi yetu
 
Picha zaidi na video wasiliana nami
20200711_171444.jpg
20200711_171440.jpg
 

Attachments

  • VID-20200711-WA0156.mp4
    210 KB
Uwezekano wa mimi kuishi kwenye majengo huu ni kuomba kazi za ndani mil89!
 
HOUSE FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
NYUMBA INAUZWA
Location : Mingoi - Bagamoyo
Ipo kilometer 1 kutoka Barabara ya lami ya Bagamoyo rd na 4 Kilometer kutoka Bunju B.
Sifa: Inavyumba vinne vya kulala, kimoja ni Master, Dining room, Kitchen, Public toilets, Maji (Dawasco) na boy quarter nje.
Nyumba ipo kwenye Eneo/Plot size 1,500 sqm. ndani ya geti.
Eneo limepimwa na Kurasimishwa na Serikali ya Mtaa
Pia pembeni kuna Plot kubwa ambayo kuna mabanda ya mifugo na shamba. (Limezungushiwa ukuta wa matofali)
Pia kuna kisima cha maji na kuna solar power.
Price: Tsh. 65 Mil (Negotiable)
 
Back
Top Bottom