Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

65milion??
Uchumi wa Kati
Mtatuua wakuu au hatustaili kukaa kwenye hizo kwiyooooo🐓🦆🦅
 
Aise imekaa vyema ngoja tuzidi kupambana one day yes.
 
Nyumba inauzwa ipo Tegeta jirani na Bahari Beach Ina 5 bedrooms, 2 self contained, servants quarters, plot size 800 sqm ina title deed.

Bei Tzs million 380

0756060183

IMG-20200716-WA0118.jpg
IMG-20200716-WA0119.jpg
 
Uchumi wa Kati
Kodi zake mijengo hii Bora uiteme fasta
 
Uchumi wa Kati
Kodi zake mijengo hii Bora uiteme fasta
Kodi zipo tu mbona mkuu! Sema kuuza kulikuwepo hata kabla ya uhuru.

Karibu mkuu umiliki mjengo huu uishi kipapaa mjini hapa..[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom