Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Tukuambie tu ukweli. Ni ghali mnoo. Tuna nyumba kama hiyo sinza na hatujawahi fikiria hiyo bei?

Sinza kuna Nyumba au Vifusi/Viwanja mzee?

Usichokijua usikizungumzie saaana kana kwana unakijua vyema.

Relax kisha nisikilize;
Huko Sinza kwako,
Kiwanja ukubwa ni Kati ya sqm.288 imeenda sana 370-vingi,
Majumba mengi mnayouza yamejengwa chini ya mwaka 1990.

Hii Nyumba inayouzwa Goba kiwanja ukubwa ni sqm.1500.,
Na Imemaliziwa Ujenzi mwaka huu 2020.
Nyumba ina Hati Miliki,
Ujenzi wa kisasa (Naijua hata Mimi)
Lami unaiona hatua chache.

Ndio, sikatai Tshs.250M si Hela ndogo,
Ila, Sifa na aina ya Nyumba hii si vya kubeza navyo.

Kikubwa kingine,
Tupo kwenye Dunia huru na hii ni Biashara Huria na hujaambiwa Bei haizungumziki.

Acha Kila mtu Aishi apendavyo ailimurad havunji Sheria.

Sijui naeleweka?
 
Punguza mukali dalali[emoji13]
 
Nyumba inauzwa Goba Center...,
Ukubwa Wa Eneo: SQ 1500...,,
Umbali Kutoka Lami: Meter 150..,,
Nyumba Ina Vyumba Vinne Vitatu Ni Master,Dinning,Sitting,Kitchen &Public Toilet...,,
Bei Makadilio: Million 250 (Maongezi Yapo)...,,
Umiliki: Hati (Title Deed)...,,
Nyumba Kali Njoo Chap...

Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1546252View attachment 1546253View attachment 1546254View attachment 1546255View attachment 1546257
250 milioni? Au nimesoma kwa makengeza?Hiyo bei mtu akisimamia show kujenga nyumba si atapata kitu kikali zadi ya hiyo mara 3 au zaidi?

Punguza bei iwe 80 au 90 unaweza pata mteja.
 
200m nyumba ya chini tena Goba? Dalali pangeni realistic prices. Wazoefu wa ujenzi 200m ghorofa iko mbali sana then finishing ya ndani ni jinsi mtu atakavyo vitu vya gharama. Japo ni nzuri na eneo kubwa but tafakarini hizo bei.
 
250 milioni? Au nimesoma kwa makengeza?Hiyo bei mtu akisimamia show kujenga nyumba si atapata kitu kikali zadi ya hiyo mara 3 au zaidi?

Punguza bei iwe 80 au 90 unaweza pata mteja.
Umenena. Wazoefu wa ujenzi 250m ni nyingi ya kufanya ujenzi kama huyo 2 to 3 times.
 
Back
Top Bottom