luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
250,000,000/-
Yah ni self contained, yani unakuta furniture, mke na beki tatu ndani we ni kuanza tu maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
250,000,000/-
Kuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
250,000,000/-
Katika madalali ninaowakubali humu ni huyu jamaa. Wacha nikae kimya. 250,000,000/-Nilikuwa sitak kusema chochote ila imenibid iv ukipewa iyo nyumba unatoa nyumba ngap kama izo Mh Mjumbe
Hahaaa aiseeh umenifrahisha mkuu. Ila sio mimi hii ni bei ya mwenyewe me ni mjumbe tu nawakilishaTukuambie tu ukweli. Ni ghali mnoo. Tuna nyumba kama hiyo sinza na hatujawahi fikiria hiyo bei?
Kweli kabisa mkuuNo hizo ni biashara za watu bro (Real Estates business), wanajenga wanauza. Biashara nzuri sana
Hahaaa sawa mkuu na asante sana.Katika madalali ninaowakubali humu ni huyu jamaa. Wacha nikae kimya. 250,000,000/-
Mkuu kiwanja chake ni kikubwa 1500 sqm kwa Goba saiv si chini ya 80m kwahyo ukichanganya na gharama za ujenzi hesabu yake inakaribianaNilikuwa sitak kusema chochote ila imenibid iv ukipewa iyo nyumba unatoa nyumba ngap kama izo Mh Mjumbe
hhahahahahahahhaaYah ni self contained, yani unakuta furniture, mke na beki tatu ndani we ni kuanza tu maisha
Tukuambie tu ukweli. Ni ghali mnoo. Tuna nyumba kama hiyo sinza na hatujawahi fikiria hiyo bei?
Kiimfaacho mtu chake MkuuKuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
Punguza mukali dalali[emoji13]Sinza kuna Nyumba au Vifusi/Viwanja mzee?
Usichokijua usikizungumzie saaana kana kwana unakijua vyema.
Relax kisha nisikilize;
Huko Sinza kwako,
Kiwanja ukubwa ni Kati ya sqm.288 imeenda sana 370-vingi,
Majumba mengi mnayouza yamejengwa chini ya mwaka 1990.
Hii Nyumba inayouzwa Goba kiwanja ukubwa ni sqm.1500.,
Na Imemaliziwa Ujenzi mwaka huu 2020.
Nyumba ina Hati Miliki,
Ujenzi wa kisasa (Naijua hata Mimi)
Lami unaiona hatua chache.
Ndio, sikatai Tshs.250M si Hela ndogo,
Ila, Sifa na aina ya Nyumba hii si vya kubeza navyo.
Kikubwa kingine,
Tupo kwenye Dunia huru na hii ni Biashara Huria na hujaambiwa Bei haizungumziki.
Acha Kila mtu Aishi apendavyo ailimurad havunji Sheria.
Sijui naeleweka?
250 milioni? Au nimesoma kwa makengeza?Hiyo bei mtu akisimamia show kujenga nyumba si atapata kitu kikali zadi ya hiyo mara 3 au zaidi?Nyumba inauzwa Goba Center...,
Ukubwa Wa Eneo: SQ 1500...,,
Umbali Kutoka Lami: Meter 150..,,
Nyumba Ina Vyumba Vinne Vitatu Ni Master,Dinning,Sitting,Kitchen &Public Toilet...,,
Bei Makadilio: Million 250 (Maongezi Yapo)...,,
Umiliki: Hati (Title Deed)...,,
Nyumba Kali Njoo Chap...
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1546252View attachment 1546253View attachment 1546254View attachment 1546255View attachment 1546257
Umenena. Wazoefu wa ujenzi 250m ni nyingi ya kufanya ujenzi kama huyo 2 to 3 times.250 milioni? Au nimesoma kwa makengeza?Hiyo bei mtu akisimamia show kujenga nyumba si atapata kitu kikali zadi ya hiyo mara 3 au zaidi?
Punguza bei iwe 80 au 90 unaweza pata mteja.