Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
Kweli mkuu,anadhani wana jamvi humu ni wajinga,hehehehee!!!Umenena. Wazoefu wa ujenzi 250m ni nyingi ya kufanya ujenzi kama huyo 2 to 3 times.
Hahahaaaa"noted",mjini Shule.Dalali anataka nae apate hela ya kununua nyumba yake kupitia hio deal![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimlaumu
Hapana mkuu usizibe ridhkiKwa bei hiyo, utasubiri sana. Haiuziki.
Nini tena mkuuMmmh
Uchumi wa sasa kupata pesa siyo mchezo. Na property prices zimeshuka sana. Hivyo fanyeni market research kabla ya kukubaliana na mteja wenu. Fahamu kuwa mwenye 250M ni lazima wanakuwa na maeneo fulani hivi kununua na pia si kwa nyumba ya chini vile hata kama ni mpya. Fahamu pia kuna risk ya kununua nyumba iliyojengwa maana ikishafunikwa na rangi na paa huwezi kuelewa ubora wa materials zilizotumika kama nondo, zege, Mbao za kuezekea namchanganyiko wa cement. ukikutana na msanii wa jenga uza ambaye ratios za material anakula nusu nzima basi tegemea pia majanga. Hivyo hizo bei wekeni na minus Risk. Ni ushauri tu. Ikishuka bei kufika 60m nishtue nitoe cash na siyo instalments.Hapana mkuu usizibe ridhki
Sawa mkuu ngoja tumfikishie mwenyewe hili na kama atakubali ofa yako nitakujuza.Uchumi wa sasa kupata pesa siyo mchezo. Na property prices zimeshuka sana. Hivyo fanyeni market research kabla ya kukubaliana na mteja wenu. Fahamu kuwa mwenye 250M ni lazima wanakuwa na maeneo fulani hivi kununua na pia si kwa nyumba ya chini vile hata kama ni mpya. Fahamu pia kuna risk ya kununua nyumba iliyojengwa maana ikishafunikwa na rangi na paa huwezi kuelewa ubora wa materials zilizotumika kama nondo, zege, Mbao za kuezekea namchanganyiko wa cement. ukikutana na msanii wa jenga uza ambaye ratios za material anakula nusu nzima basi tegemea pia majanga. Hivyo hizo bei wekeni na minus Risk. Ni ushauri tu. Ikishuka bei kufika 60m nishtue nitoe cash na siyo instalments.
Hapana mkuu hapa pako vzr na ni kiwanja cha mtaa hakuna adha yoyoteKuna ramani hazieleweki mitaa hiyo maana naona na daraja linajengwa isijekuwa unapitiwa na eneo la serikali unataka kumuuzia mtu jumba bovu
Kimfaacho mtu chakeKuna jamaa mmoja aliwahi kunializa swali la kiufahamu. "Hivi mtu anauza nyumba anataka kununua nini"?
DuhIkifika Mil 50 ni PM mkuu
HahahaYah ni self contained, yani unakuta furniture, mke na beki tatu ndani we ni kuanza tu maisha