Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mkuu mleta mada. Nyumba ikishuka mpaka 60m nishtue nilipe cash at once.
 
Kiwanja kipo nyuma ya Ubungo stand jirani na daraja jipya la Mawasiliano.
Ukubwa mita 20 kwa 20.panafaa kwa biashara na makazi

Bei 33m
Maongezi yapo.
Simu no 0756060183

20200824_151502.jpg
20200824_151444.jpg
20200824_151451.jpg
 
Kuna ramani hazieleweki mitaa hiyo maana naona na daraja linajengwa isijekuwa unapitiwa na eneo la serikali unataka kumuuzia mtu jumba bovu
 
Hapana mkuu usizibe ridhki
Uchumi wa sasa kupata pesa siyo mchezo. Na property prices zimeshuka sana. Hivyo fanyeni market research kabla ya kukubaliana na mteja wenu. Fahamu kuwa mwenye 250M ni lazima wanakuwa na maeneo fulani hivi kununua na pia si kwa nyumba ya chini vile hata kama ni mpya. Fahamu pia kuna risk ya kununua nyumba iliyojengwa maana ikishafunikwa na rangi na paa huwezi kuelewa ubora wa materials zilizotumika kama nondo, zege, Mbao za kuezekea namchanganyiko wa cement. ukikutana na msanii wa jenga uza ambaye ratios za material anakula nusu nzima basi tegemea pia majanga. Hivyo hizo bei wekeni na minus Risk. Ni ushauri tu. Ikishuka bei kufika 60m nishtue nitoe cash na siyo instalments.
 
Sawa mkuu ngoja tumfikishie mwenyewe hili na kama atakubali ofa yako nitakujuza.
 
Hiyo nyumba fair price ni mil 85
Ukinipa 60, nakutolea nyumba kali kuliko hiyo tena kwa ratio ya juu
 
Back
Top Bottom