Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Picha zaidi yq eneo
20200827_150902.jpg
20200827_150923.jpg
20200827_150938.jpg
20200827_150943.jpg
 
Tatizo la mdalali huwa wanataka kula pesa kubwa zaidi ya mara 2 ya bei husika.
Nikuibie siri wewe dalali uchwara, punguza bei yani wewe focus kupata mil 1 au 2 tu kwenye kiwanja husika utapiga sana pesa.
Hilo shamba najua bei halisi haizidi mil 5 ila kwa tamaa unataka upige mara 2.
 
Mkuu wakati huu sidhani kama kuna mwenye mali yake anaweza kukubali uuze cha juu kiasi hicho!
Ila maeneo hayo sio shamba ni viwanja vimepimwa na vina hati mku kwahyo nakushauri uje uone thn maongezi utaongea na mwenye kiwanja.me malipo yangu hapo ni commission ndogo tu
 
Jumba kama Jumbaa😍😍 nimelielewaa
Ahsante kwa picha
 
Back
Top Bottom