dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #461
Ndio mkuu. Karibu sana leo nimeleta ya bei rafiki35M?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu. Karibu sana leo nimeleta ya bei rafiki35M?
Hapana mkuu kitu ya mwwnyewe hii na haina shida yoyote.karibu sanaMambo ya THE CONJURING nini?
Hapana mkuu usiogope..we karibu umiliki mjengo huu..Mimi vitu vyangu vimenyooka na hakunashida yoyoteHii bei hadi naogopa
Uhitaji tu mkuu waswahili tunasemq, kimfaacho mtu chakeKwa nin unaiuza bei rahis hivyo mkuu?
Ndio mkuuGari inafika mpaka hapo???
Hapana mkuu pako juu juu kabisaHapajai maji ??
Ni kweli picha inaonyesha papo juu juu maana yamgu hata wakati wa mvua njia ya kufika hapo panafikika?Hapana mkuu pako juu juu kabisa
Ndio mkuu wakati wote panafikikaNi kweli picha inaonyesha papo juu juu maana yamgu hata wakati wa mvua njia ya kufika hapo panafikika?
Kweli mkuu ngoja tupambanieMkuu hii nyumba halali yake kuuzwa bei hiyo. Niliwahi kuingia kuiona ilikuwa bei zaidi ya hiyo mwanzo. Ukikaa garden pwani ya mbweni yote unaiyona Malindi, St Joseph hospital, NBAA.
Hii tafuteni wahindi wanaichukua fasta waswahili wataogopa Cert of urgency toka TRA maneno ya TLissu hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aah hii mi siwezi kununua ina "ngazi ndefu sana" na hizo nyasi zinaleta wale nyoka wa kijani
Ndio mkuu karibu umiriki mjengo huu35M?
550m mkuu ila bei hii ina maongezi
Hapana mkuu picha zipo nyingi tena mpaka video kama vipi nichk nikutumie WhatsAppPicha zimepigwa kiwizi wizi...