Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Viwanja vizuri vinapatika Mbweni kama ifuatavyo:

SQM 1000 Mbwen malindi Tsh 70m
SQM 3600 Mbweni malindi Tsh300m
SQM 3700 Mbweni malindi Tsh 200m
SQM 1300 mpaka 1350 Malindi Tsh 90m
SQM 1700 Mbweni Jkt 100m
SQM 1500 Mbweni Jkt 80m
SQM 2000 Mbweni Teta Tsh 120m
SQM 1700 Mbweni Teta 100m

Bei hizi ni za kuanzia
Na viwanja vyote vimepimwa

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20201109-WA0190.jpg
IMG-20201109-WA0189.jpg
IMG-20201109-WA0188.jpg
 
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 700 SQM

Bei Tsh 12
 
Hivi Haya Mabei Bado Yapo??? Mzee hizi ni Bei za Kununua Nyumba siku hizi sio kiwanja..Anyway naKutakia heri
 
Kiwanja kipo jirani na barabara kuu kutoka kwenye mradi wa Dege
Ukubwa wa kiwanja ni 650 SQM

Bei ya ofa Tsh Milioni 9

Kiwanja kimepimwa.

Maelezo,maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana nai kwa 0756060183

FB_IMG_1603393566174.jpg
IMG_20201020_201747_075.jpg
 
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 700 SQM

Bei Tsh 12
Mkuuu be Speicif, mara umekubaliana na mwenye kiwanja akapunguza utauza Mil 9.8 then bado unatangaza kuuza Mil 12. Which is which?
 
Mkuuu be Speicif, mara umekubaliana na mwenye kiwanja akapunguza utauza Mil 9.8 then bado unatangaza kuuza Mil 12. Which is which?
Mkuu bei ina maongezi,karibu uone kiwanja utupe ofa yako tujadiriane na mwenyewe, hii ya bei tofauti isikupeshida
 
Back
Top Bottom