Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hiki Chuo cha Sanaa Kaole ni kipya na ni tofauti na kile Chuo cha Sanaa Bagamoto kwa sasa TASUBA?
 
Hivi ndo aina ya viwanja ambavyo ukinunua kwa bei tajwa unashindwa hata kununua ama kufyatua matofali unabaki unakitembelea utafikili kinaumwa?
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Why mkuu?
 
Weee usinambie?[emoji849][emoji849]
Kwann uhangaike kununua viwanja wakati nyumba za kupanga zimejaa. Ona wahindi wana-invest na kupeleka watoto shule za maana. Wabongo unahangaika Kujenga Mbondile huko shule za St. Kayumba, maji shida, kufika Mjini 25kms. Why?
 
Daah location nzuri sana....tatizo sisi wengne ndoto zetu ni za kununua nyumba acha tujipangee tuu
 
Kwann uhangaike kununua viwanja wakati nyumba za kupanga zimejaa. Ona wahindi wana-invest na kupeleka watoto shule za maana. Wabongo unahangaika Kujenga Mbondile huko shule za St. Kayumba, maji shida, kufika Mjini 25kms. Why?
Kwani sisi wabongo tumeumbwa tuwaige waIndi
 
Meneo Mandela Road kuelekae Tabata segerea bus stand.
Barabara zote kubwa za mjini
Ukubwa kuanzia 3000 SQM

Njoo na ofa yako tuzungumze.

Mawasiliano zaidi 0756060183
 
Nyumba nzuri sana ina vyumba 4 vyote ni self.

Kuna nyumba ndogo ya nyuma ina vyumba 2 kimoja self.

Na pia kuna fremu 3 za maduka.

Ukubwa wa uwanja ni 1200 SQM

Bei 255m

Maongezi zaidi 0756060183

20201126_122811.jpg
20201126_123549.jpg
20201126_123443.jpg
20201126_122508.jpg
20201126_122743.jpg
20201126_123429.jpg
20201126_123533.jpg
 
Back
Top Bottom