Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hiyo mkuu ni kodi ya kupanga nyumba kwa mwaka mmoja maeneo haya.

Ila viwanja ninavyo vya bei hiyo meneo mengine tofauti na haya ya ununio. Kwa ofa yako karibu sana bunju,mapinga, goba,mabwepande, madale, kigamboni
Wewe ni dalali wa viwanja ndugu?

Niseme tuu ukweli, madalali mnaharibu sana uchumi wa nchi. Mnapandisha sana bei za vitu.

Niishie hapa, ikiwa wewe sio dalali haikuhusu ipotezee
 
Wewe ni dalali wa viwanja ndugu?

Niseme tuu ukweli, madalali mnaharibu sana uchumi wa nchi. Mnapandisha sana bei za vitu.

Niishie hapa, ikiwa wewe sio dalali haikuhusu ipotezee
Mimi ni Dalali mkuu ila bei hizi ni za wenyewe
 
Apartment iwe ya vyumba 3 self..iwe kati ya maeneo yafuatayo, Masaki,osterbey au upanga. Bei iwe rafiki na njoo na ofa yako tujadiriane.

Kama unayo tafadhali wasiliana nami kwa 0756060183
 
Wadau asanteni kwa michango na ushirikiano wenu Kiwanja tumeshamuuzia mdau mmoja humu ndani.
 
Back
Top Bottom