dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #741
Sawa mkuu, nichek kwenye WhatsApp kwenye hiyo no nikutumieNatafuta nyumba za 50m, 60m, 70m ukizipata maeneo kuanzia salasala mpaka Bunju niambie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, nichek kwenye WhatsApp kwenye hiyo no nikutumieNatafuta nyumba za 50m, 60m, 70m ukizipata maeneo kuanzia salasala mpaka Bunju niambie.
Hahaa haya sawa mkuu, mkuu za bei hizo zipo karibuMulioni 255 nyumba ya chini? Ukweli kwa wenye uzoefu wa ujenzi pesa hiyo ukiondoa gharama ya kiwanja ukabaki na 200m utajenga ghorofa Pagala na kuezeka. Ubakiza kidogo uongezee ufanye finishing utakayo. Gharama ya nyumba ni aina ya finishing uliyofanya I.e class ya finishing accessories.
Mkuu waambieni wanaowapa hizi deal wajue uchumi hauko rafiki sana. Hivyo bei ziendane na uhalisia wa mali. Ikifika 80m nijulishe nitalipa cash Yaani hakuna installlments
Pamoja sana ndg yangu
Maisha tunatofautina sana ndg yangu255m.....duh... Maisha haya jamani....kiunua mgongo changu nikistaafu 80m....hatari Sana.
Karibu sana mkuuChikua tshs million 254.9 hapa
Enzi hizo hii ni 400m mkuu hapa tumepunguzaBei ya awamu ya 4
Yeah kumegawanyika kuna mbweni yenye maji na mbweni isiyo na maji..kama ni mwemyeji fuatilia mbweni jkt hainashida ya maji na pia hata hivyo hii ni ya pili kutoka lamiShida kubwa ya huko ni mvua. Kuna sehemu huwa hapakaliki mvua ikinyesha. Mimaji chapachapa hadi ndani
[emoji23][emoji23] asante sana ndg ila siunajua tena waswahili tunasema kizuri gharamaHii ndo nyumba sasa nyingine kelele tu humu[emoji122][emoji122]
Ila hiyo bei[emoji1][emoji1]
Sema zipo mkuu za bei ya chini255m.....duh... Maisha haya jamani....kiunua mgongo changu nikistaafu 80m....hatari Sana.
Ya tano imeleta uhalisia wa beiBei ya awamu ya 4
Haha mkuu njoo nikupe kama hii ila eneo nyingineukifika 80m nitumie PM
Hii hapa mkuu imeanzia 100m ila maongezi yapoukifika 80m nitumie PM
Hujaweka description mzeeHii hapa mkuu imeanzia 100m ila maongezi yapo View attachment 1651887
Ukubwa wa kiwanja 1200 SQMHujaweka description mzee
Ukubwa wa nyumba
Ukubwa wa Kiwanja
Location ya Kiwanja
Kina documents?