Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Mulioni 255 nyumba ya chini? Ukweli kwa wenye uzoefu wa ujenzi pesa hiyo ukiondoa gharama ya kiwanja ukabaki na 200m utajenga ghorofa Pagala na kuezeka. Ubakiza kidogo uongezee ufanye finishing utakayo. Gharama ya nyumba ni aina ya finishing uliyofanya I.e class ya finishing accessories.
Mkuu waambieni wanaowapa hizi deal wajue uchumi hauko rafiki sana. Hivyo bei ziendane na uhalisia wa mali. Ikifika 80m nijulishe nitalipa cash Yaani hakuna installlments
Hahaa haya sawa mkuu, mkuu za bei hizo zipo karibu
 
Shida kubwa ya huko ni mvua. Kuna sehemu huwa hapakaliki mvua ikinyesha. Mimaji chapachapa hadi ndani
 
Shida kubwa ya huko ni mvua. Kuna sehemu huwa hapakaliki mvua ikinyesha. Mimaji chapachapa hadi ndani
Yeah kumegawanyika kuna mbweni yenye maji na mbweni isiyo na maji..kama ni mwemyeji fuatilia mbweni jkt hainashida ya maji na pia hata hivyo hii ni ya pili kutoka lami
 
Hii ndo nyumba sasa nyingine kelele tu humu[emoji122][emoji122]

Ila hiyo bei[emoji1][emoji1]
 
ukifika 80m nitumie PM
Hii hapa mkuu imeanzia 100m ila maongezi yapo
20201121_122352.jpg
 
Hivi hizi nyumba mnazouza 250M+ ilihali thamani ya kuijenga ni <85M huwa mnatumia criteria gani?

Hiko kiwanja maybe ni hardly 15M na hako kajumba ka pembeni ni 15M. Hapo ukijumlisha Landscaping na Fencing thamani halisi ya mjengo ni 155M!

Hio 100M uliojiongezea iondoe usimkwamishe mwenye nyumba yake.
 
Hujaweka description mzee

Ukubwa wa nyumba
Ukubwa wa Kiwanja
Location ya Kiwanja
Kina documents?
Ukubwa wa kiwanja 1200 SQM
Ukubwa wa nyumb ni vyumba 4 vyote ni self,stingroom nk
Mbweni moga au kwa jina la kiserikali mbweni Mpigi
 
Back
Top Bottom