3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Bei yako ipo reasonable mkuu ila Dom naona ndiyo pamegota ni kama wale walioenda kuwekeza chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa asante sana mkuu ila si unajua. Pameshakuwa jiji na Serikali imehamia hapa kila kitu kinaenda vzrBei yako ipo reasonable mkuu ila Dom naona ndiyo pamegota ni kama wale walioenda kuwekeza chato
Lakni bado panavuma mkuuUelekeo Dodoma mpaka leo nahisi tulipotezwa na awamu ya Tano.Kama kuka mtu mwenye imani kama mimi aseme
Eti eeeLakni bado panavuma mkuu
vp office ndogo ya sqm 12- 15 mnakata?Ofc ni kubwa tunakata kulingana na mahitaji yako..bei ya 1SQM ni 19,000 kwa mwezi
Ndio mkuuvp office ndogo ya sqm 12- 15 mnakata?
Tuma salamu kwa watu watatu
Umri wako tafadhali!
Ndio mkuuEti eee
Hela y Raman hiiNina $560k naweza kuuuziwa?
Hahaaa mkuu njoo nikupambanishe na mwenyeweChukua 1 billion chapu
Sana yaani mkuu haijakosewa hiyo ndio bei yake$600K????
Damn!
Kweli kabisa mkuu,, chapaa ndefu hiiNyumba imetulia sana,sema bei ndio noma Tsh 1.25B sio mchezo.
HahaaHela y Raman hii
Overpriced……looking from a distance.Sana yaani mkuu haijakosewa hiyo ndio bei yake