dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,441
Kweli kabisa mkuu na asante sanaMbeya sihami aisee hiyo house huku inacheza kwa 50m-60m!
Kwa Dom hiyo ni reasonable price kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu na asante sanaMbeya sihami aisee hiyo house huku inacheza kwa 50m-60m!
Kwa Dom hiyo ni reasonable price kabisa mkuu
Kweli kabisa mkuu na zaidi kuna maongeziBei muhafaka kabisa,
Kitu kama hiyo,dar ni milioni 300
Hamna mizimu mkuu sema mahitaji tu inabidi tuize tuyakabiriNyumba nzuri kwa hio bei au wanakimbia mizimu umo mjengoni?
Kakribu sana mkuuNgoja nitafute pesa
Ni tafsil tu mkuu ila wateja wetu tunaelewana kabisa bila shidaKibongobongo single home inaitwa "apartment" na helmet inaitwa "element"
Ndio mkuuLina hati?
Karibu mkuu hili ni shamba maana lina mazao ya mikorosho na huwa tunalimaga mahindi hapa na pia hili lipo karibu na bagamoyo mjini kabisaSema pori linauzwa hilo sio shamba
Hilo ni Pori tengefu Mzee jichanganye ununue.Sema pori linauzwa hilo sio shamba
Siku si nyingi ndg.Serikali ina malengo mazuri na jambo hiliHiyo bandari inajengwa lini?????????
Siku si nyingi ndg.Serikali ina malengo mazuri na jambo hili