dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,921
Ni kweli ila saivi itauzika tu maana tumeshaanza kupata wateja tunaongea nao.hamna cha juu ndg yangu tunauza bei ya mwenye nyumba na mwisho wa siku muuzaji na mteja watakutana na kuongea wenyewe..me changu hapo ni commission tena kwa kujadiriana kwa pande zote tatu.Hii nyumba Bw Dalali tangu Mwaka Jana mwezi wa 11 ,haijauzika tatizo Nini,umeongeza Cha juu Sana ,au Ni mambo ya mfuko hayajakaw sawa