Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBWENI JKT

_____________
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE-SQM 1500
____________________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-HATI
____________
NYUMBA NZURI YA KISASA
_________________
YA FAMILIA KUBWA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala vyote ni #Master
#Dinning #Sebule kubwa yenye #Jiko zuri
#Choo/#Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#Fencedhouse
______________

Pia ina boy cota
________________
NYUMBA BADO NI MPYA KABISA.
___________________

BEI INAUZWA TSHS 600M
MAONGEZI YAPO
__________________
NYUMBA HAINA MKOPO WALA MGOGORO WOWOTE

Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2181638View attachment 2181639View attachment 2181640View attachment 2181641View attachment 2181643View attachment 2181645
Ningeinunua ila sasa kuna ishu naifanya ya msingi.

Mil 600M ni pesa mbuzi kwangu kwa hiyo nyumba

Wakati mwingine tuushitue umasikini.
 
Ukiangalia vizuri hiyo 600ml. na bado nyumba bado haijaisha!!! Parefu hapo!!!
 
Hii nyumba mpaka ilipofika si zaidi ya 350 million ukijumuisha na kiwanja. Malizieni nyumba kwanza basi before dalali kuweka price mara mbili
 
Mkeka ukitiki tutaongea bei nzuri😂😂😂....
Alisikika mbetiji mmoja toka pande za magomeni kagera😄

Daah maisha haya si mchezo 600mln 🤔
 
Hii nyumba mpaka ilipofika si zaidi ya 350 million ukijumuisha na kiwanja. Malizieni nyumba kwanza basi before dalali kuweka price mara mbili
Mkuu maeneo haya kwa sasa bei ya Kiwanja ni 200m usisahau hili wakati unapiga bajet zako za ujenzi
 
Mkeka ukitiki tutaongea bei nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]....
Alisikika mbetiji mmoja toka pande za magomeni kagera[emoji1]

Daah maisha haya si mchezo 600mln [emoji848]
Yaani we acha tu ndg yangu maisha yanatofautisha watu pakubwa
 
Garden yake sio mchezo; weka na bei basi
Nzuri sana kusema kweli mkuu
20220131_120955.jpg
20220131_121353.jpg
20220131_120938.jpg
 
Mkeka ukitiki tutaongea bei nzuri[emoji23][emoji23][emoji23]....
Alisikika mbetiji mmoja toka pande za magomeni kagera[emoji1]

Daah maisha haya si mchezo 600mln [emoji848]
Hahaa pambania mkuu maisha yanaweza badilika mda wowote
 
Back
Top Bottom