Sasa humo kutokulamba asali tayari amefupisha maisha yake kwa miaka 30 so ana haki ya kufa mapema🤣🤣🤣🤣Maisha ni fumbo mkuu; kuna jamaa yangu alikuwa boss shirika fulani, hanywi pombe wala alambi asali, anajitunza na kubana matumizi; baada ya muda akashushwa cheo, kutokana na msongo wa mawazo n.k amefariki mdogo, huku starehe za dunia alikuwa anazikataa