House4Sale Tunauza nyumba na viwanja

mwaps

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
157
Reaction score
127
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280 kwa maelekezo zaidi.


 
Ndio huko wanapomwagia, sasa vuta picha harufu wanayokumbana nayo wakazi wa hayo maeneo
Ile ni nyumba ya kufanya ukarabati mdogo then,unaendelea kula zako kodi kila mwezi.Hati yake ni leseni ya makazi.
 
Karibuni kuwekeza ktk nyumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…