Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Endelea tu kufaidi hizo hela za hao wapangaji wako. Maana hakuna namna nyingine.Mjengo bado upo sokoni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea tu kufaidi hizo hela za hao wapangaji wako. Maana hakuna namna nyingine.Mjengo bado upo sokoni!
NIcheki kwa 0585510781Karibuni kuwekeza ktk nyumba!
Hii baada ya muda gani bajaji inakuwa ya dereva?vyumba sita kodi yake kwa mwezi ni sawa na nikinunua bajaji??(Bajaji ni 20,000 kwa siku)
Jinsi ilivyoliwa na chumvi kizazi gani kitafaidika? Labda ujenge nyingine imara ikae miezi 6 nayo iliweBajaji inashuka thamani na kuna risk ya ajali.Nyumba hadi vitukuu wataifaidi.Kupanga ni kuchagua!
Namba ya simu kutoka sayari ipi?NIcheki kwa 0585510781
mwenye nyumba ana shida zakeNyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280 kwa maelekezo zaidi.
View attachment 2247769View attachment 2247770
Spenco au Kijiwe Nongwa,watu kibao kule hawana noma!Nadhani uzisikia story za Kijiwe Nongwa.Spenco noma sana ile harufu haifai watu wanalazimisha sana maisha ivi kwanini mtu uishi spenco? Bora nikaishi Kisarawe hata kama ni mbali na mjini ila hewa safi
Spenco au Kijiwe Nongwa,watu kibao kule hawana noma!Nadhani uzisikia story za Kijiwe Nongwa.
241sqm