- Thread starter
- #41
241sqmJieleze mkuu ujibu swali la kina ukubwa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
241sqmJieleze mkuu ujibu swali la kina ukubwa gani?
Kuna picha ya nyumba na Hati.Vitu gani unauliza.Ni vitu gani viko kwenye hiyo picha?
241sqm
Yeah yapo Maimuna na Makata.Iyo nyumba Ina majini
Haishi hapo kitambo,ina wapangaji.mwenye nyumba ana shida zake
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Amechoka kuvuta harufu pendwa ya eneo hilo??
Tindiga eneo hilo inaonekana lilikua wanalima mpunga zamanBei nzuri,ila huo ukuta unanipa mashaka sana kuhusu ardhi ya hilo eneo...
Hiyo 20k siyo faida. Faida inawezakua 5k endapo unatenga pesa ya service, uchakavu na gharama za uendeshaji.vyumba sita kodi yake kwa mwezi ni sawa na nikinunua bajaji??(Bajaji ni 20,000 kwa siku)
Daah inasikitika kuwa unatania biashara mkuu.Inauzwa nyumba Buguruni Mivinje,ni mita 100 tu tokea kituo cha buguruni malapa.Hati yake ni leseni ya makazi na Bei 15million tu.Tuwasiliane kwa namba 0677089280 kwa aliye serious.
View attachment 2257351View attachment 2257352View attachment 2257353
Bei imeshuka,millioni 10 inahitajika chachapu kwa nyumba hiyo.Ushindwe wewe.Vyumba vipo sita wapangaji wanalipa 50k kila mtu,mara sita 300,000 hiyo kila mwezi.Duuu nimeshindwa kuelewa!
Kama uko serious sema ni kupeleke ukaone physically.Kuwa serious mkuu nyumba uliyopost haionekani piga picha vzuri