House4Sale Tunauza nyumba na viwanja

House4Sale Tunauza nyumba na viwanja

Top 14m,njoo ulipie na wapangaji tayari wapo unaendelea kukusanya kodi tu!
 
Top 14m,njoo ulipie na wapangaji tayari wapo unaendelea kukusanya kodi tu!

Nyumba buguruni milioni 14. Mbona bei rahisi sanaa.. wasifu wa nyumba kwa ufupi ukoje.. maana bugurunii mjinii sanaa kwa bei hiyo unatisha wateja wanaona utapeli wa too good to be true
 
Tumenunua kiwanja Milioni 15 huku usukumani....inatia shaka Buguruni Nyumba iuzwe hiyo bei kijana?
 
Nyumba ipo Mbagala machinjioni. Kwa taarifa zaidi piga 0677089280.Nimeambatanisha picha!
IMG-20220912-WA0009.jpg
IMG-20220912-WA0011.jpg
IMG-20220912-WA0012.jpg
IMG-20220912-WA0013.jpg
 
Zote zinauzwa 25,Nyumba kubwa juu na ndogo kwa chini.Zimeunganishwa kwa fence katikati.
20220916_104913.jpg
 
Nyumba kali yenye vyumba 3, sebule, dining na frem 2 kwa mbele pamoja na vyumba vya nje 3rooms.

For only 25m.

Nicheki 0677089280 if interested.

IMG-20220912-WA0009.jpg
IMG-20220912-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom