Sabuni za Magadi
Member
- Sep 26, 2022
- 19
- 21
- Thread starter
- #21
Tunapatikana Kinyerezi Dar es salaam, karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu naomba kujua sifa kubwa ya sabuni hizi kutoka Burundi!!??View attachment 2377419
hizi mnazo pia?
Samahani mkuu naomba kujua sifa kubwa ya sabuni hizi kutoka Burundi!!??
Nashukuru Sana mkuu. Naona baada ya Hawa jamaa,mo29 na b29 kupandisha Bei wengi hasa wafanya biashara wa Kanda ya ziwa Hadi kigoma wamekimbilia hizi sabuni.inapovu sana, inahimili maji ya chumvi, haitoi mabaka kwenye mikono, alafu ni cheap, ukiogea haisumbui ngozi kutoa mabakabaka
Nashukuru Sana mkuu. Naona baada ya Hawa jamaa,mo29 na b29 kupandisha Bei wengi hasa wafanya biashara wa Kanda ya ziwa Hadi kigoma wamekimbilia hizi sabuni.
Mzigo mpya umeingia,tafadhali tufikie kupitia +255783787340 tukuletee hadi mlangoni kwako.Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja.
Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25.
Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam.
Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni zako mpaka mlangoni kwako.
Kwa mawasiliano au msaada zaidi tafadhali tufikie kupitia +255783787340.View attachment 2376218View attachment 2376220View attachment 2376222View attachment 2376225
Kama unazitaka hizo nitafute tufanye biasharaView attachment 2377419
hizi mnazo pia?
Savonor mnauzaje box mojaMzigo mpya umeingia,tafadhali tufikie kupitia +255783787340 tukuletee hadi mlangoni kwako.