APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Bei yote hiyo radio ya zamani wakati nazama kariakoo nachukua mziki wa maana kwa 170000 ebu punguza wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevitoa wapi hivyo vigodoro! Naona vimeshatumika!!!!
Sasa mbona jamaa yako anaviuza kwa bei ya dukani? Usawa huu ununue kagodoro used ka futi 2 na nusu kwa elfu 30! Kirahisi tu!!baada ya form six kumaliza
sisi tulivigawa bure
Picha wapi mkuu?Ni radio nzima ,3 disc changer, FM radio, aux support, discet drive support na speakers 2 mbili mkubwa zenye mziki mkubwa. Bei ni 180,000 tu, upande wa cd haifanyi kazi ila kama una dvd player ya kutumia cd na flash unaweza kuunganisha na hii radio, simu 0734 680839 au WhatsApp no 0783 662495