INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

gonjasame

Member
Joined
Oct 3, 2022
Posts
14
Reaction score
29
Tumekuja na ofa mpya za [FULL EGG AUTOMATIC INCUBATORS]mashine za kutotoleshea vifaranga zinazotumia solar, umeme na betri.

Ofa zetu:

Mayai 16 bei 150,000/=Tsh
Mayai 24 bei 175,000/=Tsh
Mayai 56 bei 300,000/=Tsh
Mayai 104 bei 400,000/Tsh

●Call 0656 446 991
0682 44 6464
0747 608 608

■TUPO DAR ES SALAAM
TEGETA

TUNA MAWAKALA MIKOANI KOTE.

1666549196581.jpg
 
Mashine ya kuangulia vifaranga
Screenshot_20221116-133425_Facebook.jpg

Call 0747 608 608

Dsm tegeta
 
Attachments

  • IMG-20221130-WA0049.jpg
    IMG-20221130-WA0049.jpg
    87.6 KB · Views: 39
Tunauza mini egg incubator

■Inatumia solar,umeme na betri.
■Inabeba mayai 60.
■Inageuza mayai yenyewe.
■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
■Inakuja na warranty ya mwaka mmoja.
■Inacontrol joto na unyevu nyevu yenyewe.
■Inageuza kwa 98%
■Inatotoa mayai aina zote [kuku,kanga,bata,kware na bundi]

■Bei 300,000/=Tsh.

[Ofa hii niya muda mfupi]

■Call 0656 446 991
0747 608 608
0682 44 6464

Dar es Salaam
|Tegeta|

Tuna mawakala mikoani kote.

#Cage's#Taazakuleleavifaranga#eggincubator#pignippledrinker#mzaniwadigital#pluckermachine#mifugoplus#cupnippledrinker#pelletmachine#maizesheller#riceharvestmachine#
Screenshot_20221116-133425_Facebook.jpg
 
Tunauza mini egg incubator

■Inatumia solar,umeme na betri.
■Inabeba mayai 60.
■Inageuza mayai yenyewe.
■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
■Inakuja na warranty ya mwaka mmoja.
■Inacontrol joto na unyevu nyevu yenyewe.
■Inageuza kwa 98%
■Inatotoa mayai aina zote [kuku,kanga,bata,kware na bundi]

■Bei 300,000/=Tsh.

[Ofa hii niya muda mfupi]

■Call 0656 446 991
0747 608 608
0682 44 6464

Dar es Salaam
|Tegeta|

Tuna mawakala mikoani kote.

#Cage's#Taazakuleleavifaranga#eggincubator#pignippledrinker#mzaniwadigital#pluckermachine#mifugoplus#cupnippledrinker#pelletmachine#maizesheller#riceharvestmachine#View attachment 2431615
BILA KUWEKA BEI NI KUMPIGIA MBUZI GITAA. HUU "UJING" WA NJOO DM SIJUI UTAISHA LINI gonjasame
 
Tunauza mashine ya kutotolesha vifaranga
Call 0747 608 608
 
Mashine zetu zina ubora wa hali ya juu.

Call 0747 608 608
images%20(87).jpg
 
WE ARE SELLING SEED PLANTER.

Hii ni mashine inatumika kupandia mbegu kama mahindi, kunde,maharage NK

●Bei 100,000/=Tsh | Laki Moja

●Call/text/Whatsapp 0747 608 608

●Muda wetu wa kazi ni saa 12:00Asubuhi hadi saa 10:00usiku.

●Ofisi zetu zipo Tegeta kwa ndevu darajani opposite na The one Hall [Bagamoyo road]

■Mashine hii hutoa mbegu na mbolea kwa wakati mmoja.

■Mashine hii inauwezo wa kupanda mpaka heka sita kwa siku moja.

■ukitumia mashine hii utaokoa muda na gharama kwa kiwango kikubwa sana.

●Simu
0656 446 991
0682 44 6464

●Email
Mifugoplus@gmail.com

●You tube

●Tovuti
Www.mifugoplus.co.tz

●Google location link

Mifugo Plus
0656 446 991

Karibu sana mifugo plus group mabingwa wa vifaa vya ufugaji Tanzania.

IMG-20230222-WA0043.jpg
 
Je, wewe ni mfugaji wa nguruwe?

Na hivi unafahamu kuwa nguruwe anahitaji maji mengi safi na salama ili aweze kupooza mwili,kula vizuri na kuwa na afya njema kila siku?

•Mifugo plus Group tunauza PIG NIPPLE DRINKER SYSTEM.

Hiki ni kifaa maalumu kwa ajili ya kunyweshea maji nguruwe.

Kifaa hiki unaweza kukifunga kwenye ndoo,dumu,tank,na Pipes.

Unaweza kuzifunga kwenye kwenye mabanda ya aina zote yani tofali,mbao,miti na chuma.

Kupitia drinker zetu nguruwe wako watatabasamu kwa kupata maji ya kutosha pindi tu anapoigusa kwa mdomo.

Ukitumia ndrinker zetu zitahakikisha kuwa banda lako linakuwa safi na kavu muda wote Hivyo magonjwa ya minyoo na kuhara hutayasikia tena.

● Sifa za Nipples zetu

Zimeundwa na material ya stainless hivyo hudumu muda mrefu.

Nguruwe hawezu vunja

Hazivuji vuji ovyo ovyo kwani zina spring na valve imara sana.

Hazishiki kutu.

Pia tunavifaa vingine vya nguruwe kama vile ;

Kipimo cha kupima mimba nguruwe.

Pig Ear tag(yani hereni za nguruwe)

Pig snare (yani mtego wa nguruwe)

Teeth clipper (yani mkasi wa kukatia meno nguruwe)

Kifaa cha kukatia mkia nguruwe

Tape maalumu ya kupimia uzito nguruwe.

Bei zetu ni nafuu mno tena zinazungumzika.

PIG NIPPLE BEI 3500/=TSH

Call
0656 446 991
0747 608 608
0682 44 6464

TUPO DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI OPPOSITE NA THE ONE HALL NJIA YA KWENDA JESHINI

images%20(3)%20(8).jpg
images%20(3)%20(13).jpg
images%20(2)%20(4).jpg
images%20(3)%20(15).jpg
images%20(3)%20(20).jpg
 
View attachment 2532272View attachment 2532274View attachment 2532275View attachment 2532276View attachment 2532277
Nguruwe anapimwa uzito Kwa kutumia tape? Naomba hii elimu tafadhali...
 
Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa ndevu Darajani opposite na The one Hall, njia ya kwenda jeshini.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0747 608 608 au 0656 446 991

20230223_110434.jpg
 
Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa ndevu Darajani opposite na The one Hall, njia ya kwenda jeshini.

Tunafanya free delivery kwa dsm ,pia tuna mawakala mikoani kote.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0747 608 608 au 0656 446 991
20230223_161825.jpg
 
Back
Top Bottom