Je, wewe ni mfugaji wa nguruwe?
Na hivi unafahamu kuwa nguruwe anahitaji maji mengi safi na salama ili aweze kupooza mwili,kula vizuri na kuwa na afya njema kila siku?
•Mifugo plus Group tunauza PIG NIPPLE DRINKER SYSTEM.
Hiki ni kifaa maalumu kwa ajili ya kunyweshea maji nguruwe.
Kifaa hiki unaweza kukifunga kwenye ndoo,dumu,tank,na Pipes.
Unaweza kuzifunga kwenye kwenye mabanda ya aina zote yani tofali,mbao,miti na chuma.
Kupitia drinker zetu nguruwe wako watatabasamu kwa kupata maji ya kutosha pindi tu anapoigusa kwa mdomo.
Ukitumia ndrinker zetu zitahakikisha kuwa banda lako linakuwa safi na kavu muda wote Hivyo magonjwa ya minyoo na kuhara hutayasikia tena.
● Sifa za Nipples zetu
Zimeundwa na material ya stainless hivyo hudumu muda mrefu.
Nguruwe hawezu vunja
Hazivuji vuji ovyo ovyo kwani zina spring na valve imara sana.
Hazishiki kutu.
Pia tunavifaa vingine vya nguruwe kama vile ;
Kipimo cha kupima mimba nguruwe.
Pig Ear tag(yani hereni za nguruwe)
Pig snare (yani mtego wa nguruwe)
Teeth clipper (yani mkasi wa kukatia meno nguruwe)
Kifaa cha kukatia mkia nguruwe
Tape maalumu ya kupimia uzito nguruwe.
Bei zetu ni nafuu mno tena zinazungumzika.
PIG NIPPLE BEI 3500/=TSH
Call
0656 446 991
0747 608 608
0682 44 6464
TUPO DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI OPPOSITE NA THE ONE HALL NJIA YA KWENDA JESHINI
View attachment 2532272View attachment 2532274View attachment 2532275View attachment 2532276View attachment 2532277