Plot4Sale Tunauza viwanja kwa ajili ya makazi au biashara, vilivyopimwa katika miji ya Arusha na Moshi

Plot4Sale Tunauza viwanja kwa ajili ya makazi au biashara, vilivyopimwa katika miji ya Arusha na Moshi

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari wana Kaskazini

Kwa mahitaji ya kununua na kumiliki viwanja tajwa hapo juu vvilivyopimwa na vina hati kamili toka mamlaka husika. Kwa miji ya Arusha na Moshi. Na viunga vyake.

Viwanja vina ukubwa wa 20kwa20, 20kwa30 n.k. Au ukitaka kuanzia hekari na kuendelea unapata kwa gharama nafuu ambayo unalipia kwa instalments, monthly au full payment

Karibuni.

Mawasiliano.

0756294771 /0672701329 (WhatsApp)
 
HABARI WAKUU ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KIWANJA CHA UKUBWA WA 30KWA30 , KIPO KIBOSHO ROAD ...KINAUZWA...KINA DOCUMENT ZOTE ZINAZOHUSIKA .......KWA BEI NAFUU.............KWA MAWASILIANO ZAIDI.........0756294771
 
Arusha wapi wapi vipo?
MAENEO YOTE HADI PEMBEZONI MWA MJI ......NI MTEJA KUSEMA WAPI ANATAKA , NA SAIZI YA KIWANJA,,,,,,,MFANO UKISEMA MIANZINI , MOSHONO . NGARAMTONI VIPO MKUU ........EAST AFRICAN ROAD HADI HAPA MJINI KATIKATI VIPO SEMA BEI NI RAFIKI KWA KILA ANAYEHITAJI......
 
HABARI WAKUU ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KIWANJA CHA UKUBWA WA 30KWA30 , KIPO KIBOSHO ROAD ...KINAUZWA...KINA DOCUMENT ZOTE ZINAZOHUSIKA .......KWA BEI NAFUU.............KWA MAWASILIANO ZAIDI.........0756294771
Weka hiyo bei nafuu tuione
 
HABARI WAKUU ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KIWANJA CHA UKUBWA WA 30KWA30 , KIPO KIBOSHO ROAD ...KINAUZWA...KINA DOCUMENT ZOTE ZINAZOHUSIKA .......KWA BEI NAFUU.............KWA MAWASILIANO ZAIDI.........0756294771
kiwanja kimeisha uzwa leo hii ....asanteni
 
Habari....nina nyumba inauzwa pamoja na eneo lake la ARDHI ,,,kama linavyoonekana kwenye picha ,,Lina ukubwa wa. Sqm 5363...... Lipo kisongo jijini ARUSHA...Kwa Bei ya 500 M hapo unapata mpaka ARDHI hiyo ya nje ya nyumba , pamoja nyumba hiyo iliyo nDani ya fense......

KARIBUNI wakuu ...0672701329..

Dalali Lexus SUV
 
ARDHI inauzwa. Ina ukubwa wa sqm 600 , IPO njiro ...jijini ARUSHA
Ina documents zote zinazohitajika...

Bei ya mmiliki anahitaji millioni 50 ,

Karibuni 0672701329

Pia. Kuna viwanja mpaka vya million 1, inategemeana na location.....katika miji hii ya Moshi na ARUSHA
 
Karibuni wakuu , ...Kwa watakao hitaji viwanja vya million 1 au 2 , 3 vipo na inategemeana na location za eneo husika..
 
MIMI NINAKIWANJA MAPAMBAZUKO 20mita kwa 15mita njoo nikuuzie
 
ARUSHA MJINI ...KARIBU NA STAND MPYA Kiwanja kinauzwa stand mpya inayo jengwa million 30....... SQM 300

Kinafaa sana Kwa. Manufaa ya baadae maana mkoa. Una kuwa Kwa Kasi sana

KARIBU...0672701329. Whatsapp, normall calls, and text...
 
Back
Top Bottom