William Mwita

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
96
Reaction score
74
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.

kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.

Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.

Bei ni million 30 tu.

Umbali kutoka barabarani ni km 2

Mawasiliano 0715128827
 
KIWANJA Kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka
kiwanja kipo mbezi msakuzi Kwa lipelanya shule ya makamba
ukubwa ni 45 Kwa 35 metres
Bei ni million 30 tu
Umbali kutoka barabarani ni km2
Mawasiliano 0715128827
 
Habari, chief vipimo vipo sahihi kweli? 45 ft ni sawa na mita 13.7 na upana 35 ft ni sawa na mita 10.6.

Kifupi kina urefu wa mita 13.7 na upana wa mita 10.6 kwa bei ya milioni 30?
 
Habari, chief vipimo vipo sahihi kweli? 45 ft ni sawa na mita 13.7 na upana 35 ft ni sawa na mita 10.6.

Kifupi kina urefu wa mita 13.7 na upana wa mita 10.6 kwa bei ya milioni 30?
Kimepimwa Kwa miguu ni zile hatua ndefu
 
KIWANJA Kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka
kiwanja kipo mbezi msakuzi Kwa lipelanya shule ya makamba
ukubwa ni 45 Kwa 35(Futi)
Bei ni million 30 tu
Umbali kutoka barabarani ni km2
Mawasiliano 0715128827
Futi tena? Sio Metres?
 
Futi 45=mita 15

Futi 35=mita 11.6

Mita 15x 11.6= mita za mraba 175.

Ukijenga nyumba yenye mita za mraba 120, inabaki mita za mraba 55.

Kipo Mbezi Msakuzi bei milioni 30?
Kiwanja standard kinaanzia mita 20 x20= mita mraba 400
 
Huyu jamaa hayuko serious kabisa....

Anauza Square Meter 1 kwa 230,000 Msakuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilibidi nishangae aisee
 
Madalali wengi naonaga hawana akili
Ni kazi kaka watu wanafanya, shukuru umepata kazi ya akili Kwa kumtoa akili mwanaume mtafutaji kisa kukosea badala ya kuweka metres na kuweka Futi
Karibu kiwanja kipo ni kizuri kitakufaa
 
Futi 45=mita 15

Futi 35=mita 11.6

Mita 15x 11.6= mita za mraba 175.

Ukijenga nyumba yenye mita za mraba 120, inabaki mita za mraba 55.

Kipo Mbezi Msakuzi bei milioni 30?
Kiwanja standard kinaanzia mita 20 x20= mita mraba 400
Ni 45×35 metres
Karibu
 
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.

kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.

Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.

Bei ni million 30 tu.

Umbali kutoka barabarani ni km 2

Mawasiliano 0715128827

Mbona kama picha zinaonesha kiwanja kipo bondeni sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…