Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
SawaNi 45×35 metres
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNi 45×35 metres
Karibu
Upo sahihi mtu mzuriMadalali ni watu wabaya sana.
Msakuzi milioni 30? Seriously?Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
Unaweza fika site kabisa ujioneeMbona kama picha zinaonesha kiwanja kipo bondeni sana...
Hakuna ulanguziMsakuzi milioni 30? Seriously?
Nakusihi uza bei isiyo ya ulanguzi, huko ni mashamba na si viwanja, hakuna hati na maeneo mengi ni mabonde ya maji, mnunuzi anaweza vamiwa na maji kama ilivyo Hanang.
ww dalali hauna akiliNi kazi kaka watu wanafanya, shukuru umepata kazi ya akili Kwa kumtoa akili mwanaume mtafutaji kisa kukosea badala ya kuweka metres na kuweka Futi
Karibu kiwanja kipo ni kizuri kitakufaa
Hili tangazo sio kwaajili yako masikiniMsakuzi 30 million? Kweli udalali unalipa.
KAZI ni kipimo cha utu
Na huu ndio ukweli tuKina madini hicho kiwanja ?
Tayari kimepata mteja ila Kuna mradi mwingine hapa ndio wanamalizia kuvipimaChukua 10