Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Wamefanyia. Mama yako na basha wake, ukapatikana wewe
Mkuu kwa Kifupi umenisikitisha. Id yako imebeba jina la Biashara yako halafu kwa kutojua au kwa maksudi unaanza kujibizana matusi live. Unaikosea heshima Nembo na Jina Biashara yako vinginevyo utaonekana wewe na Kampuni yako hamna maaana na hapa JF au pengine popote ukiweka bandiko la Biashara yako utaoenekana Msela/ Mhuni fulani. Kuna wakati unapaswa kumeza Ufahari wako ili ajenda yako ipite. Nashauri hoja za Kejeli zipotezee na hatimaye wenye nia thabiti watajitokeza lkn ukianza kutoa majibu machafu utaanguka. Ni ushauri tu Mkuu
 
Sijui Kama atakuelewa mkuu the hard headed never learns
 
Nilibahatika kununua viwanja wakati ule aliposema vipimwe watu wagaiwe ili walipe kodi.
Kuna kanuni moja wawekezaji tunaitumia inasema hv "the best time to buy is when there is blood in the treet"
kama ulifanikiwa kununua viwanja kwa bei chee wakati wa Magu upo vizuri manake utauza kwa bei kubwa sana kipindi hichi chenye arufu ya mzoga aka msoga
 
Mungu anisaidie siuzi bali ninaongeza. Juzi bush huko kijijini alikozaliwa mama yangu. Ni milimani kuna maji 24/7. Nimepata kiwanja heka moja 2.5m Nikasema naam, juzi tu ningenunus kwa laki tano.
 
Noted…
Hawa wajinga tumewalea kwa muda mrefu.
Kazi yao ni kuchafua biashara za watu wakijua tutawaacha sababu tunahitaji wateja.
Hii haikubaliki
 
Duh , milioni 100 kumbe sasa hivi haina thamani
Ndio maana siku hizi hizo noti nyekundu wanazifungia maua kwenye harusi!! Gavana wa BOT anakunywa mvinyo tu huku fedha ikipoteza thamani!!
 
• Mahali: Bonyokwa Center, ubavuni mwa Masia Hotel
• Bei: TZS 80,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 700 sqm
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Hali ya Nyumba: Inahitaji rangi, kupachika choo cha master, kujenga bindo (verandah) la nyuma na kuvuta maji
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
• ni self ya vyumba vitatu, sebule, jiko, stoo na bindo la mbele. madirisha ni wavu na parking ya gari ipo
• kwenye maingilio kwa mbele imepakana na barabara ya Tanroad inayo wekewa lami hivi sasa
• kwenda Kariakoo - Mnazi mmoja au Muhimbili ni daladala 1 na nauli ni Sh 500
• pande 2 tayari zina uzio bado nyingine 2
• mfumo wa maji ya dawasa upo pembezoni mwa nyumba. umeme upo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
Milioni (90) tisini bajaji 14 ukinunua kwa milion 7 kila moja

Bajaji 14@10,000/= kwa siku

Tsh. 140,000/= siku 30

Tsh. 4,200,000/= @miezi 12

Tsh. 50,400,000= ukiziweka miaka 3 tu na baadae uziuze zote kwa laki laki tu uassume zimechoka

Inakuletea Tsh. 152,000,000/=

Naomba hizo hela zianzishe kampuni mwenye nazo proposal hiyo hapo

Sisi hatuna elimu ya biashara
 
Kasoma juu juu, inaonekana amepanick sana😂
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…