Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Inauzwa, 2 Bedrooms Apartment, Upanga East - Dar
.
• Mahali: Jirani Malik Road
• Bei: TZS 130,000,000
• Ukubwa: 90 sqm
• Nyaraka: hati
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
first floor (no lift) • 1 master & 1 common bedrooms • sitting and dining area • kitchen • common washroom • balcony • • sliding glass windows • a/c • fan • tiles
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
For Sale, 2 Floors Unfinished Commercial Building, Tegeta - Dar
.
• Holder: Bank
• Direction: Kwa Ndevu, facing Bagamoyo Road
• Plot Area: 389 sqm
• Built Up Area: 279 sqm
• Land Use: Commercial/Residential purpose
• Current Use as per Permit: Commercial
• Document: 99 yrs Title Deed (remain 84 yrs)
• Market Price: TZS Mil. 499
.
• a property located in prime commercial area of Tegeta. It's well accessible to Dar es Salaam CBD and other locations
• easily marketable
• good security for a bank loan
• ideal for shops, offices, warehouse, etc
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
Inauzwa CheaChap, 4 Bedrooms House, Bunju B - Dar es Salaam
.
• Muuzaji: Benki
• Mahali: Barabara ya kuelekea Mabwepande
• Bei: TZS 85,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 673 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
• vyumba viwili master na viwili vya kawaida
• sebule, jiko, stoo na bindo la mbele na jikoni
• madirisha vioo, dari gypsum na malumalu sakafuni
• uzio na parking ya gari
• nyumba ya mtumishi ya chumba na sebule na fremu 1
• umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
• Mahali: Mikocheni B
• Bei: TZS 220,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 288 sqm
• Nyaraka: Hati
• Ada ya kwenda site: TZS 30,000
.
• chumba kimoja master na viwili vya kawaida
• sitting, dining, jiko lenye makabati, stoo, bindo la mbele na jikoni
• madirisha vioo, dari mbao, malumalu sakafuni na paving
• ac kila chumba na sebuleni
• uzio na parking ya gari ipo
• umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
Usikubali kutumika, tumia akili yako kifikiri, wewe unaona Kuna kitu Cha milioni 200 hapo!??, Nyumba imejengwa style ya kipindi cha mwinyi bado aluminum hazipo, hata kama hiyo apartment ingekuwa jirani na ikulu bado milioni 200 usingempata mtu. Viwango vyake vipo chini sana
 
Tukakope pesa Bank turudi tuinunue kisha tupangishe [emoji124]
 
Ww ni wa mkoani bila shaka.
Kwa mikocheni hiyo Bei ni ndogo hata Kama kungekua hakuna nyumba.
 
Mikocheni? Afu useme 220Mil n kubwaa? Wee hauko serious.
 
Unataka ingekuwa na Alminium ??

Hivi dirisha la mbao na la Alminium lipi bora ?

Sijaona tatizo la hayo madirisha, ila kipimo cha kiwanja sqm 200 ndio sijawahi kusikia maishani mwangu
 
Hivi unaijua mikocheni?
 
Walengwa wananunua hio wanavunja wanajenga waipendayo. Kuwa mpole.
 
Acha ushamba kijana..mikocheni sio mbagala walaa magomeni
Hata kungekuwa Hamna nyumba yani kiwanja kingekua kitupu bado bei ingekua hivohivo ama pungufu kidogo
Pia nyumba kama mtu hajaipemda anaweza bomoa au akaifanyia renovations.
Wengine wanabomoa kwa minajili ya kujenga maofisi nk.
Karibu dar!
 
Mimi na wewe ndio tunaona miyeyusho..

Wenye hela hapo hawanunui hiyo nyumba, wananunua eneo iliyopo hiyo nyumba, hiyo wanapiga nyundo, mchezo umeisha.
 

Japo bei ni kubwa ila ukweli ni Bei ya nyumba inapangwa na location ilipo. Kumbuka nyumba ipo mikocheni sio kitunda
 
Watu wa bank wamekukalia kooni unatak kuuza nymba, mkuu umemshrikisha mkeo lkn ,aaah nmesahau kumbe ww ni ka dalali ka mchongo
 
Magomeni mbonaa nyumba zinauzwa hio hio 200m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…