Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Ww ni wa mkoani bila shaka.
Kwa mikocheni hiyo Bei ni ndogo hata Kama kungekua hakuna nyumba.
Kwani wewe umeiona nyumba zaidi ya baraza na paving mkuu?
 
• Direction: Shekilango, facing Morogoro Road
• Price: USD Mil. 1
• Area: 2,966 sqm
• Current Uses: Commercial
• Document: Title deed
• Viewing Charge: TZS 30,000
.
• plot inatazama Morogoro Road
• panafaa kwa ujenzi wa yard, gereji, hoteli, kumbi za mikutano na sherehe, supermarket, n.k
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
Sqm 288 for 220m...sqm 1 kwa laki 8 kasoro...basi sawa
 
Unazijua bei za nyumba au unasema tu?
 
kwa mikocheni kinachouzwa hapo ni kiwanja,so hiyo nyumba hata milioni 20 haifiki.
 
• Mahali: Kibamba kwa Mangi, mita 200 kutoka Morogoro Road
• Hadhi ya Kiwanja: Kimepimwa, Hati bado
• Ukubwa: 1,200 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya mtaa
• Bei: TZS 30,000,000
• Kupelekwa Kuona: TZS 30,000
.
kipo tambalale • kinafikika majira yote • kuna nyumba ya vyumba vitatu vyote self; sebule na jiko • panafaa kwa unjenzi wa makazi au biashara
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
Nasisitiza, ni dola za kimarekani milioni moja sawa au karibu sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili na nusu
 
Vipi Ruble unachukua? maana ulaya nzima na United shit of America wanatafuta ruble Kama njugu.
 
• Mahali: Boko Mianzini, kilomita 1 kutoka Bagamoyo Road
• Eneo la Kiwanja: Sqm 612
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Bei: TZS Mil. 300 (kwa zote 4)
• Kupelekwa site kuona: TZS 30,000
.
• Apartment 2 kila 1 ina vyumba V3 kimojawapo masta, sebule, jiko na washroom ya jumuiya
• Apartment nyingine 2 kila 1 ina vyumba viwili, sebule, jiko na washroom ya jumuiya
• Apartment zote zipo kwenye uzio mmoja ila kila 1 inajitegemea kwa umeme na maji
• Apartment zote zina malumalu sakafuni, gypsum darini, feni za juu, bindo za mbele na madirisha ya vioo ya aluminium
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
 
I'm impressed by the use of land! 600sqm ameweza kutoa nyumba nne!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…