Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Unafika madafu?
 
• Mahali: Buyuni Pemba Mnazi
• Ukubwa: Mita za mraba (sqm) 4,000
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Bei: TZS Mil. 90
• Kupelekwa site kuona: TZS 30,000
.
Kiwanja kinatazama bahari • ufukwe ni wa mchanga mweupe • maji na umeme vipo • barabara inapitika majira yote
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
 
250m neenda chalize napata plot mbili za 50×50 barabarani na kujenga vituo vya mafuta viwili petrol station kwahiyo pesa na kubakiza......hapo hapo naanza kuingiza pesa beach plot ya nani ni limbukeni ya wazungu na nyie mkafuata
 
• Muuzaji: Benki
• Mahali: Kinyerezi Kona jirani na mahakama
• Hali ya jengo: limekamilika
• Bei: TZS 300,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 1260 sqm
• Nyaraka: hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
• kila apartment ina chumba kimoja master na viwili vya kawaida; sebule, mahala pa kulia chakula, jiko, stoo, washroom ya jumuiya, balkoni ya mbele na jikoni, malumalu sakafuni na luku & maji vya kujitegemea
• eneo lina uzio, paving, sehemu ya bustani na maegesho ya gari
• kila apartment imepangishwa kwa TSh 350,000/mwezi hivyo jengo lote kwa mwezi linaingiza TSh 350,000 x 6 = 2,100,000
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
 
250m neenda chalize napata plot mbili za 50×50 barabarani na kujenga vituo vya mafuta viwili petrol station kwahiyo pesa na kubakiza......hapo hapo naanza kuingiza pesa beach plot ya nani ni limbukeni ya wazungu na nyie mkafuata
Milioni 90. Unakaribishwa
 
• Mahali: Mikumi mjini Kikwalaza
• Matumizi: Petrol Station
• Ukubwa: 4,058 Sqm
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS 150,000,000
.
• kiwanja kimetazama barabara kuu ya Morogoro-Iringa
• maji na umeme vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788

 
• Mahali: Mtaa wa Congo, upande wa Jangwani
• Kodi: TSh 350,000/mwezi
• Service charge: TZS 60,000/mwezi
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
ghororofa ya pili (hakuna lift) • chumba cha kawaida (hakuna master) • washroom • makabati jikoni na chumbani • malumalu sakafuni • feni za juu • luku ya kwako • maji moto bafuni • maji ya kisima kirefu
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz

 
Apartment ipo Kariakoo Lumumba. Ipo floor ya 4 no lifth. Ina vyumba viwili kimoja ni master, sebule, jiko, choo cha publc.
Furnished kodi laki 6 bila fanicha laki 5.5. Malipo miezi 6. Parking ipo, luku hushei
• Kupelekwa kuona Sh 20,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
 
• Mtaa: Msimbazi BigBon
• Kodi: TSh 550,000/mwezi (pamoja na service charge)
• Kupelekwa kuona: TZS 10,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
ghororofa ya 4 (hakuna lift) • chumba kimoja cha kawaida na kingine master • washroom ya public • sebule • jiko • balkoni • makabati jikoni • malumalu sakafuni • feni za juu • luku ya kwako • maji moto bafuni
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
 
Ipo hapa Kimara Suka jirani na RC Church barabara ya kuelekea Golani kilomita 1.8 kutoka Morogoro Road.
Ni nyumba ya vyumba 3 kimoja master, sebule, jiko, dinning na public toilets.
Pia kuna servant kota, parking ipo poa. Pameshapimwa....ina.sqm 400.....njoo chap lipia leo
.
Call/Watsap: +255767157788
Facebook, Instagram, Twitter & Google: @dalalirealty
 
Hiyo Monthly service charge ndo nini
Kwenye majengo ya kushare kuwa makini sana... kuna gharama za wote kama ulinzi, takataka etc... sasa kwa hiyo apartment, service charge kwa mwezi ni dola 300 aka 700,000tzs..... yaani ukishanunua kila mwezi utoe 700,000 ya kuishi kwenye nyumba yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…