Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
- Thread starter
-
- #421
Ina umri gani mkuuBado ipo
Ina umri gani mkuu
Najua hili swali wengi huwa hawaliulizi
Nimecheka sana na hii comment. Yaani unataka kusema kwamba....Advertise ya kwanza,kuna mtu anaonekana humo ndani hana kichwa,mengine utakutana nayo ukisha nunua...
[emoji2][emoji2][emoji1787]… huo ni ufundi wa editing hasa ukiwa na simu yenye uwezo…Advertise ya kwanza,kuna mtu anaonekana humo ndani hana kichwa,mengine utakutana nayo ukisha nunua...
VipoMkuu maji na umeme vinapatikana huko?
Pako vizuri… hakuna shida hiyoKwa muonekano wake hapo kuna shida ya kujaa maji.
balaa sana mwenyewe nilishtuka ila ni editing tu hiyoMi naogopa nimemuona mtu hana kichwa
Ungepiga na picha za nje ya geti la kuingilia, ingekuwa poa sana.Pako vizuri… hakuna shida hiyo
Nimesoma hii comment yako nimebaki nacheka tu. Hata akipiga hizo picha za nje pesa ya kununua unayo? Ila watu humu, kwa hiyo hapo huwezi kununua mpaka hizo picha???Ugepiga na picha za nje ya geti la kuingilia, ingekuwa poa sana.