Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Ni mradi wa viwanja vya makazi upo Kigamboni Avic Town, kilomita 25 kutoka Ferry na 1 kutoka baharini.
Ukubwa ni kuanzia sqm 400 mpaka 3,897.
Bei ni TZS 22,000@sqm
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara na #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook, Instagram, Twitter & Google: @dalalirealty

View attachment 2404189View attachment 2404190View attachment 2404191
 

Attachments

  • VID-20221025-WA0002.mp4
    2.9 MB
• Mahali: Mtaa wa Igose, mita 50 kutoka lami
• Eneo la Kiwanja: Sqm 390
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS mil. 250 (kwa zote 2)
.
• Nyumba kubwa ina vyumba V4 viwili self, sebule, jiko na washroom ya jumuiya
• Nyumba ndogo ina vyumba vitatu, sebule, jiko na washroom ya jumuiya
• Parking, umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara na #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook, Instagram, Twitter & Google: @dalalirealty
IMG_20221101_151820_216.jpg
IMG_20221101_151820_268.jpg
 
Ugepiga na picha za nje ya geti la kuingilia, ingekuwa poa sana.
Nimesoma hii comment yako nimebaki nacheka tu. Hata akipiga hizo picha za nje pesa ya kununua unayo? Ila watu humu, kwa hiyo hapo huwezi kununua mpaka hizo picha???

Mil 25 wewe unaiona kwenye makaratasi tu tena ya zile bajeti za serikali
 
Back
Top Bottom