Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Purchasing power ya Watanzania ni ndogo sn na mfumo wa manunuzi wa real Estate uliopo Tanzania unakasoroa kubwa sn na ndio maana ukifanya Tathimini ya Real Estate hapa Dar kama umezorata kabisa kutokana na uhalisia wa maisha ya Tanzania.

Real Estate ilikuwa Boom kwenye kipindi cha JK sio kwa sababu uchumi ulikuwa mkubwa sn noo . . .. dirt money ilikuwa ipo kwenye mzunguko sn ndio watu waliweza kununua property kwa bei ambayo sio halisi.
 
Hapo ngapi kwa ngapi kwa hatua zetu za uswahilini..alafu elf 20 kuona? Ni mgodi huo ?
 
Purchasing power ya Watanzania ni ndogo sn na mfumo wa manunuzi wa real Estate uliopo Tanzania unakasoroa kubwa sn na ndio maana ukifanya Tathimini ya Real Estate hapa Dar kama umezorata kabisa kutokana na uhalisia wa maisha ya Tanzania...
Mi nampongeza muenda zake japo sisi madalali hali ilikuwa ngumu kibiashara kwenye kipindi chake lakini value for money ilichukua nafasi yake
 
Mtaa wa Mfaume kuna jengo lipo katika kuanguka na huwa linanesa nesa ndio hilo au?
 
Kesho Ijumaa saa tatu asubuhi tunakwenda kutembelea hii apartment.
Anayehitaji kuungana nasi, anakaribishwa.
Ada ya kuona ni TZS 20,000
Karibuni
 
Naweza pata hii ramani?
Natanguliza Shukrani
 
• Mahali: Kimara Stopover, dakika 6 kwa miguu kutoka barabara ya Morogoro
• Hali ya nyumba: Ya kuhamia
• Bei: TZS 150,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 1000 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
CallWatsap: +255767157788
.
vyumba vitatu master, viwili vya kawaida • sebule kubwa • mahala pa kulia chakula • jiko kubwa • stoo • washroom ya jumuiya • maktaba • uzio • malumalu sakafuni • gypsum darini • paving • bustani • maegesho ya gari • maji na umeme vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

 
Dah! Nyumba nzuri, bei nafuu ukilinganisha na thamani yake. All the best kwa mnunuzi.
 
• Direction: Ras Nungwi
• Plot Status: Surveyed
• Plot Area: 39,714 sqm
• Document: Title Deed (49 years lease since 2015)
• Price: US$ 1,200,000 (nego)
.
CallWatsap: +255767157788
.
• 170 meters beach front that allows for optimum sea view
• commercial
• ideal for hotel/resort
• 3 sides of the property is surrounded by sturdy wall
• it is on cliff site hence having natural protection against constant sea erosion
• it has a unique sand bank feature during low tide for relaxation
• good infrastructure throughout year
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
• Mahali: Jirani na mahakama ya wilaya
• Hali ya jengo: bado jipya
• Bei: TZS 300,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 1272 sqm
• Nyaraka: hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767167788
.
• kila apartment ina chumba kimoja master na viwili vya kawaida; sebule, mahala pa kulia chakula, jiko, washroom ya jumuiya, malumalu, sakafuni, gypsum darini, luku na maji vya peke yake
• eneo lina uzio, paving, bustani na maegesho ya gari
• kila apartment imepangishwa kwa TSh 350,000/mwezi hivyo jengo lote kwa mwezi linaingiza TSh 350,000 x 6 = 2,100,000
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

 
• Mahali: kwembe, kilomita 3 kutoka Morogoro Road
• Nyaraka: Barua serikali ya mtaa
• Bei: Tsh 6 mil. au vyote kwa 35 mil.
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
vinafaa kwa ujenzi wa makazi • sehemu ina makazi ya watu tayari • umeme na maji vipo • miundo mbinu ya uhakika majira yote
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…