makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Makadirio yako ni ngapi?Ipo vizuri ila bei ni tatanishi
200-250 vitu vingi quality ya kawaidaMakadirio yako ni ngapi?
Ha ha ha....mwenyewe nilitaka kuandika. Bati zimeshachoka naza kawaida. Kiwanja kidogo sana. Anyway huenda akapata mteja35 million kwa Nyumba hii??
Wewe unauhitaji na nyumba?35 million kwa Nyumba hii??
Umeme ni luku (lipa kabla hujatumia). Maji tutakagua bili ya mwisho ilikuwa lini.Haina madeni kama vile ya Umeme na Maji?