misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mita 500.na makazi ya watu pia
Kipi hakijaandikwa?mmiliki.kila kitu kimeelezewa aliye serious anakuja pm kupeana mawasiliano anakuja kukagua Eneo akiridhika hatua nyingine zinaendelea.Pm ndo mtaa gani?, ...weka kila kitu hapa, wew ni mmiliki, dalali au mpiga dili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi hakijaandikwa?mmiliki.kila kitu kimeelezewa aliye serious anakuja pm kupeana mawasiliano anakuja kukagua Eneo akiridhika hatua nyingine zinaendelea.Pm ndo mtaa gani?, ...weka kila kitu hapa, wew ni mmiliki, dalali au mpiga dili?
Sent using Jamii Forums mobile app
lengo la kusema ambaye yupo interest aje pm nimpe namba .anapiga .runapanga anakuja kuona akiridhika hatua zinaendelea.utalipia kitu ambacho haujakiona?bro serious?
Man upMabwepande ha ha ha
Mia ngapi elfu?*ENEO LINAUZWA*
Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri *wafanyakazi wa kudumu 6,000* achilia mbali madereva na makonda wa malori watakaokuja kupakia mizigo wanaokadiriwa kufikia *2,000 kila siku* ambao watalazimika kutafuta malazi. Kwa ujumla eneo hili linategemewa kuhudumia *watu elfu kumi kila siku* kwa *makazi* na *malazi.*
Pamoja na hayo, ujenzi wa *bandari kavu* unaoendelea eneo la *Kwala Railway Station* unaliongezea eneo hili matumizi mengine muhimu sana katika biashara. Mizigo yote inayoingia au kutoka bandarini ni lazima
ikaguliwe na maofisa wa serikali ambao kimsingi ni waajiriwa wa mamlaka ya *Mji Mdogo na Wilaya mpya ya Chalinze.* Eneo linatoa fursa kwa makampuni ya _usafirishaji, uwakala wa forodha_ na _uwakala wa meli_ kuweka *yadi* kwa ajili ya kuhifadhia, kukagulia, kupakilia na kupakulia mizigo inayoingia au kutoka bandarini yakiwemo makontena yenye shehena na matupu.
Pamoja na hayo, uwepo wa shughuli za kibandari jirani na eneo hili unavutia _uwekezaji wa nyumba za kulala wageni, maofisi_ na _sehemu za biashara._ Kwa mfano watu watano walipakia mizigo yao ndani ya kontena moja, siku ya kulitoa bandarini ni lazima wote wawepo kwa ajili ya kupokea mizigo yao. Siku ya kupokea mzigo ikaangukia Ijumaa na bahati mbaya mashine ya kupakilia mzigo ikaharibika au ikawepo sababu nyingine yoyote, basi wote watano watakuwa wageni eneo hili kwa siku 3. Watahitaji kula, kulala, kunywa na kupumzika.
Kwa ujumla eneo lote la Chalinze, Pingo linatoa fursa ya kujenga *Dar es Salaam Mpya* ya siku za usoni. Wakati wa kuwekeza ni *sasa* ambapo *ekari moja* ni TShs. *4,000,000* (milioni nne tu) na maelewano yapo. *Unapimiwa kulingana na mahitaji yako* na pia tunafanya upimaji _(surveying)_ na kulifanya eneo lako *litambulike kisheria* kwa gharama nafuu sana. Wasiliana nami pm
Sijakuelewa
Apana Mkuu apo bado uko mbali .panda kidogo tuzungumze.hadi vigwaza sijajua km ngapi ila sio mbali sana
Ok,ni umbali usiojulikana ? Wewe ni dalali au tajiiri, bila hati bei lazima iporomoke wastani wa 4-6 kwa heka kwa maeneo ya bagamoyo na chalinze sawasawa?Apana Mkuu apo bado uko mbali .panda kidogo tuzungumze.hadi vigwaza sijajua km ngapi ila sio mbali sana
Ok,ni umbali usiojulikana ? Wewe ni dalali au tajiiri, bila hati bei lazima iporomoke wastani wa 4-6 kwa heka kwa maeneo ya bagamoyo na chalinze sawasawa?
Sent sing Jamii Forums mobile app[/QUOTE/) tajiri Mkuu.mjini kumejaa maeneo ya uku ndo bei zake.na thamani yake inazidi kupanda maana panachangamka
Yanapatikana Mkuu nakutumia nambaWeka simu namba pia vipi maeneo ya Bandar Kavu yanapatikana?