uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
-
- #161
Maji ya msimu ,kilimo cha mvua,wanyama waharibifu hakuna,umbali toka barabarani 4km.Maji yapo? Vipi Kuhusu wanyama waharibifu km nyani, nguruwe nk? Umbali Toka barabarani?
Halina mgogoro wowote wala mradi unaopita mkuuHalina mgogoro wala mradi wowote unaopita?
Asante mkuuHalina mgogoro wowote wala mradi unaopita mkuu
Wafanyakazi vibarua wengi tu,miaka mitatu.Shamba liko vizuri mnoAsante mkuu
Vipi upatikanaji wa watu huko kwa ajili ya kufanya kazi
Na umelilima kwa muda gani?
Uhautojutia mkuuAsante mkuu
Vipi upatikanaji wa watu huko kwa ajili ya kufanya kazi
Na umelilima kwa muda gani?
Kwa sasa apa sina Mkuu ila mpaka badae nitakua nimepigaunaweza kuweka picha mkuu
Pamoja mkuuumeeleweka mkuu
shamba lisilo na mazao yoyoteunaweza kuweka picha mkuu
Apana mkuuNdio hilo katika picha?
Ookey kanakuja soonWeka kapicha itapendezaaa
Unapata Mkuu ,piga hiyo namba picha apa zinagomaweka picha nataka heka 10
Nimeku pm mkuuweka picha nataka heka 10
[emoji16]wakuu hampo siriaz kabisaNdio hilo katika picha?
Ndo wabongo ,kuwazoe tu[emoji16]wakuu hampo siriaz kabisa