uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #161
Maji ya msimu ,kilimo cha mvua,wanyama waharibifu hakuna,umbali toka barabarani 4km.Maji yapo? Vipi Kuhusu wanyama waharibifu km nyani, nguruwe nk? Umbali Toka barabarani?